Hii kampuni ni ya nje Russians so haipo kweny bodi kwa kua operations zao hawa zifanyii apa tzHao Jamaa wamesajiliwa na Ile Bodi inayohusika na mambo ya betting ya Tanzania ukitapeliwa unalalamika wapi???
Mmelalaaaa kumekucha hukoooRmadrid win
Cs
0-1
#@urownrisk
Hii kampuni ni ya nje Russians so haipo kweny bodi kwa kua operations zao hawa zifanyii apa tz
Mkuu,Hapo mkuu ni kama uliverify vizuri kabisa na imechukua masaa 24 na pesa haijasoma kwenye akaunti yako ni kama umenunua luku kwa simu na haujapata majibu. Ila wewe haujamaliza kuverify kwa hiyo tatizo bado lipo kwako
Ametutrsasanaaa aisee siootimuyakukimbiliaa mwezihuuuHatimae madrid ameshinda
Hilo ni kweli mkuu,Sure mkuu ... inaonekana wana mlolongo sn kudeposit hela, which discourages users. Hizi processes (kudeposit/kuwithdraw) inatakiwa zile rahisi kufanya (user friendly).
Risk kwa kua haija sajiiwa na bodi ya michezo ama una maanisha vp??Very risky Mkuu
Vichekeshokamahiviandikapdidy kwenda nambaTry 1-1
Bet Won..
Asante Madrid
Hyo body yenyewe imekaa kihuni huni tu.Hao Jamaa wamesajiliwa na Ile Bodi inayohusika na mambo ya betting ya Tanzania ukitapeliwa unalalamika wapi???