DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Hongera sana mkuu, basket mambo safi![]()
ZILE TIMU NILIWEKA ZA DIR WIN KAZI IMEISHA BASKETBALL TJX LORD KESHONAYOSIKU
Hongera sana mkuu, basket mambo safi![]()
ZILE TIMU NILIWEKA ZA DIR WIN KAZI IMEISHA BASKETBALL TJX LORD KESHONAYOSIKU
MurwaakabisaaampwaaaHongera sana mkuu, basket mambo safi
HAWA jamaa ni wasumbufu sn.Yani mm nimefuatisha exactly km ulivyoeleza hapa ... nilitumiwa hiyo Push message pia ambayo ina maelezo ya jinsi ya kudeposit. Kwa case yangu nafikiri ni tatizo la kimtandao lkn procedure nilizofuata ndizo hizo hizo ulizozieleza Chief.
HAWA jamaa ni wasumbufu sn.
Ikifika kesho hawajarudisha deposit au kurudisha ela yangu.
Itakua ndo kwaheri
Nimewekampwaa link chekijuuHili ni group gan? Tupe lonk basi
mkuu, njia ya kuandika kiasi then namba ya sim(push massage), ni mbaya haifai saa zingine pesa haiendi. njia rahisi ni kutumia dusupay+vodacom pesa haichukui hata dk1. Mimi niliwahi kulalamika nadhani hata message hum mlikuwa mnaziona nikiomba msaada. mkuu @deepond nakuomba Tafadhali tumia voda hutojutia kamwe naamini ukiwa 1xbet kuna option nyingine za hela hatuzijui utatuelekeza!
Yani mm nimefuatisha exactly km ulivyoeleza hapa ... nilitumiwa hiyo Push message pia ambayo ina maelezo ya jinsi ya kudeposit. Kwa case yangu nafikiri ni tatizo la kimtandao lkn procedure nilizofuata ndizo hizo hizo ulizozieleza Chief.
Cleveland naona Leo karudi kuwa mzima first quarter katupia vikapu 36.
cavaliers nae naona vikapu vichache sana.Boston Celtics ndio ananisikitisha sn ...