Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Korea na Philippines vipi leo mkuu?

Wafilipino tuwaombe hivi kwa leo! Hawa wazee wa dk12.
IMG_0297.jpg
 
Booking Number: 6DRFQFY
19/01/2018 08:06:43
Code 4525 Date 19/01/2018 17:30
Event Libya - Nigeria
Live/Prematch Normale
Selection Under
Code 4526 Date 19/01/2018 20:30
Event Rwanda - Equatorial Guinea
Live/Prematch Normale
Selection Under
Code 7628 Date 19/01/2018 13:00
Event Midtjylland - Hobro
Live/Prematch Normale
Selection 1X
Code 7643 Date 19/01/2018 19:30
Event RW Essen - Arminia Bielefeld
Live/Prematch Normale
Selection Under
Code 7625 Date 19/01/2018 12:00
Event Zira FK - Keshla FK
Live/Prematch Normale
Selection 12
Stake: ₦ 1,000.00
 
Mimi nimeweka buku tatu ajabu mpaka sasa sijaona kitu

Pole mimi nimefuata tu maelezo yao nikaingiza kiasi na namba ya simu, wakanitumia msg nikafuata maelekezo.

Ni km princess mwanzoni kabla ya kubadilisha mfumo wao tofauti ya hawa ni msg yao ikiingia kumbukumbu namba ni 0081bet haibadiliki.

Binafsi sijapata ugumu wowote. Hata registration nimeifanya ndani ya Dk 1
 
Pole mimi nimefuata tu maelezo yao nikaingiza kiasi na namba ya simu, wakanitumia msg nikafuata maelekezo.

Ni km princess mwanzoni kabla ya kubadilisha mfumo wao tofauti ya hawa ni msg yao ikiingia kumbukumbu namba ni 0081bet haibadiliki.

Binafsi sijapata ugumu wowote. Hata registration nimeifanya ndani ya Dk 1
Poa ngoja nitry tena
 
Nimepitia mjadala mzima page after page wa 1xbet ulivyoenda mpaka napost hapa kwa kiasi fulani kuna vingi nimevifahamu ila naomba kueleweshwa zaidi kwa mambo haya mawili yafuatayo:-
1.Nimeclick button ya regstration nikaletewa nchi,sehemu ya kujaza namba ya simu na mwisho promo code,hoja yangu je,hizo ndo process pekee za kukamilisha usajili? na kama ndiyo hivyo, promo code najaza kitu gani?
2.Nimefuatilia maelekezo ya namna ya kudepost kuna sehemu kama sijakosea kuna mdau moyes ametoa utaratibu unaofanana kama na wa premier bet au m bet hivi sasa sijui kuwa ndivyo ilivyo,kuwa kwanza unalog in halafu unaselect @deposit kisha unachagua eg.Vodacom/m pesa then unaandika amount na kuconfim,kisha unarudi kwenye taratibu za m pesa kwa kulipia malipo kama kawaida kwa buss no.400700
ref no.0081xbet
cc moyes faokipe teja juniour and Others
 
Booking Number: 6DRFQFY
19/01/2018 08:06:43
Code 4525 Date 19/01/2018 17:30
Event Libya - Nigeria
Live/Prematch Normale
Selection Under
Code 4526 Date 19/01/2018 20:30
Event Rwanda - Equatorial Guinea
Live/Prematch Normale
Selection Under
Code 7628 Date 19/01/2018 13:00
Event Midtjylland - Hobro
Live/Prematch Normale
Selection 1X
Code 7643 Date 19/01/2018 19:30
Event RW Essen - Arminia Bielefeld
Live/Prematch Normale
Selection Under
Code 7625 Date 19/01/2018 12:00
Event Zira FK - Keshla FK
Live/Prematch Normale
Selection 12
Stake: ₦ 1,000.00
Mzee wa makolokocho, uko njema Mzee baba! huwa najiuliza hili jukwa bila wewe walahi kungechacha maana mzee baba jukwa unalitendea haki vilivyo ni vile tu binadam hatuna destury ya kushukuru ila tambua mchango WAKO ni mkubwa ktk jukwaa hili... mfano kuna app moja umeipost Jana usiku inabashiri mpira,vikapu hadi tennis, ile app iko njema saana mtu ukitulia nayo ukaondoa tamaa, hasara itabaki kwa muhindi!
 
Leo ligi ya wadachi ipo wale wazee wa OVER 2.5 twendeni kule tuka chambue timu kadhaa hivi
 
Back
Top Bottom