Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-1-17_21-5-22.png

Japan U23 0 - 2 Uzbekistan U23 hii timu inayoongoza ilikuwa na odd 5+ halftime over 0.5 ilikuwa na odds 1.73

sipati picha uzbekistan to win HT alikwa na odds ngapi kama si 7+
 
Nimepitia mjadala mzima page after page wa 1xbet ulivyoenda mpaka napost hapa kwa kiasi fulani kuna vingi nimevifahamu ila naomba kueleweshwa zaidi kwa mambo haya mawili yafuatayo:-
1.Nimeclick button ya regstration nikaletewa nchi,sehemu ya kujaza namba ya simu na mwisho promo code,hoja yangu je,hizo ndo process pekee za kukamilisha usajili? na kama ndiyo hivyo, promo code najaza kitu gani?
2.Nimefuatilia maelekezo ya namna ya kudepost kuna sehemu kama sijakosea kuna mdau moyes ametoa utaratibu unaofanana kama na wa premier bet au m bet hivi sasa sijui kuwa ndivyo ilivyo,kuwa kwanza unalog in halafu unaselect @deposit kisha unachagua eg.Vodacom/m pesa then unaandika amount na kuconfim,kisha unarudi kwenye taratibu za m pesa kwa kulipia malipo kama kawaida kwa buss no.400700
ref no.0081xbet
cc moyes faokipe teja juniour and Others
anza kumalizana na procedures za kampuni ukishafika hatua hii
IMG_20180118_233054_988.JPG

ndipo uede kwenye menyu ya m pesa kisha lipa kwa m pesa na uweke kiasi sawa na kule ulicho ingiza kule mwanzoni mwa procedures

namba ya kampuni na ref number ni hii
IMG_20180118_233110_042.JPG

baada ya hapo utapokea sms ya uthibitisho wa malipo kwenda kwenye kampuni hhusika chukua ile namba inayo ambatana na meseji kama inavyo onekana hapa
5AI9143WLYP Imethibitishwa
tarehe 18/1/18 saa 6:48 PM
Toa Tsh5,800.00 kwa JOAS John Kiluwa
Salio lako la M-Pesa ni Tsh5,800.40.
namba utakayo weka pale palipo andikwa transaction ID ni hiyo hapi mwanzo kwenye sms yaani
5AI9143WLYP(huu ni mfano)
 
To be honest! 1xBet wapo njema sana. Mechi ikiisha dk 1 nyingi mzigo unasoma!

Wadau tuwajaribu hawa jamaa, tena wana options nyingi hatari....

Hapo niliwajaribu INPLAY ya Basketball Indonesia kwa Odds 2.49
IMG_0304.jpg
 
View attachment 679616
watu wamegiveup kwasbb ya njia za kudeposit lakini ninaamini tatizo lipo kwa wanaoweka pesa kuna hatua wanachanganya.
 
watu wamegiveup kwasbb ya njia za kudeposit lakini ninaamini tatizo lipo kwa wanaoweka pesa kuna hatua wanachanganya.

Ndiyo kabisa mkuu! Itakuwa kuna sehemu wanakosea. Wasikate tamaa kujaribu njia mbalimbali!

Wanaoptions nyingi hatari...! Hii kampuni hakuna hata moja Bongo inaifikia, server yake ipo strong pia! Level zake labda za Bet365 na wengineo.
 
To be honest! 1xBet wapo njema sana. Mechi ikiisha dk 1 nyingi mzigo unasoma!

Wadau tuwajaribu hawa jamaa, tena wana options nyingi hatari....

Hapo niliwajaribu INPLAY ya Basketball Indonesia kwa Odds 2.49
View attachment 679616
kwa mfano kama ulibet 1Quoter, ikipita tu kota hiyo pesa yako inaingia hawasubili hadi gam e iishe
 
kwa mfano kama ulibet 1Quoter, ikipita tu kota hiyo pesa yako inaingia hawasubili hadi gam e iishe

Kabisa mkuu! Quarter ikiisha mzigo unasoma!
Ila wana odds nyingi sana za kibabe..

Hata PrincessBet wanajitahidi kwenye InPlay Quarter ikiisha mzigo unatema!
 
AZ ALKAMAAR OV 2.5
SETUBAL OV 1.5
KASIMPASA GG/OV 2.5
BRISBARNE GG
CAN BERRA UNTD HT OV 1.5/FT OV 2.5/3.5
MIDTYLAND OV 2.5
Thin OV 2.5/GG
PORTOBORNRE OV 1.5HT
FT OV 2.5/3.5
LORIENTE UND 3/5
ZARAGOZS OV 1.5
DERBY GG
HERTHA OV 2.5
PAIDE II OV1.5& GG
CAEN OV 1.5

[HASHTAG]#ALL[/HASHTAG] THR BEST
 
Back
Top Bottom