Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Someni kwa makini hizo option wazee sio mnaingia kichwa kichwa mtaumia Oooohhhoo
Umakini ni jambo LA muhimu sana.Someni kwa makini hizo option wazee sio mnaingia kichwa kichwa mtaumia Oooohhhoo
Nina uzoefu nazo mkuuSomeni kwa makini hizo option wazee sio mnaingia kichwa kichwa mtaumia Oooohhhoo
Daaaaaa nashukuru deepond INA maana ni dk 1 iishe auu sekunde 59......kama wanavvyoonesha 0:0 to 0:59 hii ni kama kabla ya dk 1???Hapana mkuu,
Free kick ni kweli imetokea, Ila kwny live score wameonyesha ni DKK ya 2.
Kwa uzoefu wangu,
Live score huwa wanaongeza DKK 1.
Kwa mfano
Nliwah kubet 10 min draw, mechi ya arsenal.
Na hyo mechi nlkua naangalia kabisa live.
Walcot akafunga goli DKK ya 10
Basi nkahesabu mkeka umechanika.
Kucheck bet history,nakuta bet woon.
Kuangalia livescore, nakuta wameandika goli lmeingia DKK ya 11.
Nkagundua kua HAWA jamaa huwa hawahesabu sekunde.
Ikishazid sekunde 1, wao wanahesabu ni dakika mpya.
INAWEZEKANA WAO 1XBET WANAENDA LIVE NA KINACHOTOKEA KILA SEKUNDE YA MCHEZO.
mkuu pole sana ila naamini umelose mchezo wala hujafanyiwa uhuni cz kinacho'update matokeo wDaaaa wamenitapeli haijatokea na nimechek live score kwenye huo mda .....duuu 1Xbet mbona utapeli unaanza jamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuuu n kweli aiseee huwa awahesabu sekundemkuu pole sana ila naamini umelose mchezo wala hujafanyiwa uhuni cz kinacho'update matokeo w
ni computa yaani mkeka wako matokeo yanakuwa automatic. throw in, free kick vinatokea Mara nyingi ktk mchezo.
Mkuu hii option ya scored by kickingBahat mbaya,
Siangalii mechi live sahv.
Ila nnachoelewa ni kwamba kusitokee free kick ndani ya DKK ya 1 ya mchezo
Mathematically interval ya 0.00 mpaka 0.59 ni 1Daaaaaa nashukuru deepond INA maana ni dk 1 iishe auu sekunde 59......kama wanavvyoonesha 0:0 to 0:59 hii ni kama kabla ya dk 1???
Mkuu, Naona mmeniacha Princess bet[emoji23] . Nakuja huko Mojabet, Tuende sawa.Umakini ni jambo LA muhimu sana.
Mpwa embu walete wale jamaa zako waleToday's games
kick off 17:30hrs
44+odds
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
2558-augsburg gg
5386-leicester gg
3692-Bournemouth gg
1928-astonvilla win
2776-Preston win
1101-wolves win
1342-fulham win
2451-Truro city win
Kweli hao jamaa ni shidaaa....ha ha ha ha ndio wanachokifanya iko?Kuna hii option inapatikana kwenye 1 minutes events naona ni nzuri maana si kila dk kunatokea free kick
![]()
Mkuu livescore sometimes zinachelewa ku update, kwa mfano flashscore walichelewa sana ku update corner za mechi ya chelsea wakati huku kwenye 1xbet kona zilikua zimefika 4 wenyewe walikua wanaonyesha kona 1.Daaaa wamenitapeli haijatokea na nimechek live score kwenye huo mda .....duuu 1Xbet mbona utapeli unaanza jamani
Msaada jamaniSamahani jaman nilideposit kwenye account yangu ya 1xbet lkn Salio halisomi customer care wananiomba ID of description sielew ndo kitu gani