I-NGOSHA
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 496
- 182
Au watumie screenshort ya hiyo msgKwa hiyo naikuta kule Mpesa mkuu
Au watumie screenshort ya hiyo msgKwa hiyo naikuta kule Mpesa mkuu
Hii option waarabu wamekimbia na pesa angu sio salama kiivo!!Chelsea over 3.5
Ubaya nilitumia simu ya kawaida kufanya muamalaAu watumie screenshort ya hiyo msg
Jinsi ya ku deposit 1×bet?Kila dk tuna place bet
Kulalamika sio hoja na we nenda mkuuMlio tukimbia princess Mungu anawacheki mjue.
Pitia page za nyuma wadau wameelezea sanaJinsi ya ku deposit 1×bet?
Issue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!nilitoa rai asubuhi kuna uuhuni huwa unafanyika na usipofatlia unaweza jua bet lost
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Issue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!
Kama sio mzuri sana kwenye lugha chill utafute option zingine tamaa ndio itawamaliza ukute umeweka mpunga mlima!!
lol...wameshafanya deal wapate pesaMpwaaujasomaaaa asbh....tumefunguaaa telegram tukakutana na ujumbee huu hamusina
Mpwaaujasomaaaa asbh....tumefunguaaa telegram tukakutana na ujumbee huu hamusina
you seen for yourself guys. It's now on your part to return the favor.
Please take note.
[emoji615] After promotion ends, kindly inbox me @impressivetips to pay and be added back to our paid VIP channel and win even bigger.
VIP Price
[emoji736]3O USD FOR TWO WEEKS,
[emoji736]55 USD FOR ONE MONTH.
[emoji818]PAYMENT METHOD : [emoji818]SKRILL,
[emoji818]BITCOIN,
[emoji818]PERFECT MONEY, [emoji818]NETELLER.
Loh
Ni muhimu kuzielewa hizo option vinginevyo utalalama umetapeliwa kumbe hujaielewa option inataka niniIssue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!
Kama sio mzuri sana kwenye lugha chill utafute option zingine tamaa ndio itawamaliza ukute umeweka mpunga mlima!!
Ni cup final.hawatoi overLeo namuona New Saint uwanjan mzee wa Over2.5
binafsi kwa hiyo kampuni sina uzoefu nayo but ilishawahi nikuta mkeka bet timu ilishinda nikawekewa lost. but walirekebisha nilipoongea naoIssue sio utapeli issue ni watu kuelewa lugha na option zilivyo!!
Kama sio mzuri sana kwenye lugha chill utafute option zingine tamaa ndio itawamaliza ukute umeweka mpunga mlima!!
Leo nmewakaushia.Ni cup final.hawatoi over
Atatoa over 3.5Ni cup final.hawatoi over
Asante Chelsea faida ya 121000Won, hongera mkuu
Nahisi Conte atakuwa anabet
Apo sawa mkuu nimeinyakaTofautisha vitu mkuu.
Hii option nloweka inasema
"Goal scored by kicking-yes"
Na wala sio
"Number 1 goal scored by kicking-yes"
HIZO NI OPTION MBILI TOFAUTI NA ZINA ODDS TOFAUTI.
SOMA VZUR KILICHOANDIKWA KWNY HIYO BET SLIP YANGU.