Sijabeza nimesema hakuna 100% optionSasa kama kila siku anakula kwa option hiyo kwann asiseme ni uhakika,by the yeye huwa anaselect timu zake na huwa zinampa matokeo chanya so sio kubeza kila wakati wazee
Kwa upande wake utasemaje sio 100% wakati hajawahi kulose,team selection ndio inambeba na bahati pasi yeye kujuaSijabeza nimesema hakuna 100% option
Kuwa na subira utaupata tu game haziishi kila siku game zipo...Nipo tenge wadau mtaji ni tatizo
Kutokuwahi ku lose hakuifanyi Betting option yoyote iwe 100% Mkuu, labda kama mnatengeneza discussion za kubishana. LOSE or WIN there is No 100% option katika huu mchezo. Ingelikuwepo nadhani kila mtu angeikimbilia na hawa wenye makampuni wangefunga biashara kwa kufilisika. 100% itawezekana kwenye fixed match tu sabab team zote zitakua zimekubaliana kupanga matokeoKwa upande wake utasemaje sio 100% wakati hajawahi kulose,team selection ndio inambeba na bahati pasi yeye kujua
Ni sahihi vitu vingi katika maisha sio 100% ila kwenye perspective yake tangu ameanza kucheza hiyo option hajawahi lose ndio maana akaiita 100% sure,siku akilose atakuja na majibu tofauti pia,Huu mchezo 50% na nyingine ni kucheza na numbers ndio ninachoaminiKutokuwahi ku lose hakuifanyi Betting option yoyote iwe 100% Mkuu, labda kama mnatengeneza discussion za kubishana. LOSE or WIN there is No 100% option katika huu mchezo. Ingelikuwepo nadhani kila mtu angeikimbilia na hawa wenye makampuni wangefunga biashara kwa kufilisika. 100% itawezekana kwenye fixed match tu sabab team zote zitakua zimekubaliana kupanga matokeo
Leo nilicheza mechi tatu mikeka mitatu tofauti First half over 0.5
Nawaangalia tu ila naamini 9 zitapatikanaUnited na Burnley hawapigi kona kabisa
United na Burnley hawapigi kona kabisa