Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo tamaa tu zimeniponzaa yani... Leiplzen ***** zakee mbwa yulee yani daah..!!
Arsena...man u..chelsea wangetosha sana sema ndo too late...
 
MKEKA WA PESA

Slot No.3

Odds: 2.00
View attachment 680694
****Bet woooooooooon*****

Hongera kwa Mara nyngine tRNA kwa waliufata huu mkeka
2018-01-20-20-10-18.jpg
 
League 1 kule Uingereza zote zimetoa Over 1.5 kasoro team moja tu. Ha ha ha ha ha jumamosi ni siku ya magoli
Mkuu wise slot vp zinaendelea, maana leo hali yangu mbaya nilimpa Everton 10 min x kasepa na mpunga... Man U 2+ nayo chenga.
 
Back
Top Bottom