Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kutokuwahi ku lose hakuifanyi Betting option yoyote iwe 100% Mkuu, labda kama mnatengeneza discussion za kubishana. LOSE or WIN there is No 100% option katika huu mchezo. Ingelikuwepo nadhani kila mtu angeikimbilia na hawa wenye makampuni wangefunga biashara kwa kufilisika. 100% itawezekana kwenye fixed match tu sabab team zote zitakua zimekubaliana kupanga matokeo
You nailed it mzee
 
Leo nilicheza mechi tatu mikeka mitatu tofauti First half over 0.5 zote nilistake 500K per each.
Chelsea, Arsenal na Man U.

Mtaji umeshapona nasubiri mechi ya Man U, hlf kwa leo nitakuwa na furaha isiyo na kifani
Pole mkuu
 
Ha haha...kaaaaz kwel kwel kuna wajerumani mpaka HT wanakona saba, cha pili hawajapiga kona hata moja na wapo dk ya 80
Mkuu acha kabisa.....hiyo imenitokea kwa Chelsea.... Halftime ana kona Saba....cha pili sasa....hazijafika tisa
 
MKEKA WA PESA

Slot No.2

Odds: 2.07
View attachment 680595
****Bet wooooon******

Hongera sana mloufata.
2018-01-20-19-21-45.jpg
 
Asante Cash out ya mkeka bet.... Maana Leicester na United kama hawataweza fikisha goli 2
 
Back
Top Bottom