DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Leo sijagusa basket kabisa.Hii ilikuwa game ya in play over points, maana Q1 katoa 67 na Q2 katoa 69....hii siyo mchezo hata kidogo
Mechi ya Valencia imeniweka bize sn
Leo sijagusa basket kabisa.Hii ilikuwa game ya in play over points, maana Q1 katoa 67 na Q2 katoa 69....hii siyo mchezo hata kidogo
Leo sijagusa basket kabisa.
Mechi ya Valencia imeniweka bize sn
Ha ha ha umenifanya nicheke sana
Mkuu nipe maoni yako NBA
Philadelphia Q1 win
Houston Q1 over 60.5 points (au GSW Q1 win)
Nipe maoni yako?
Mkuu kwanza pole,ilikuwa ligi gan hiyo ulioweka 500k?Tangu nipigwe laki tano kwa option ya under 4.5 goals kwa dakika 6 za mwanzo zikafungwa goli 4 sijawahi kucheza zaidi ya laki moja.
Lakini leo nimeweka laki mbili kwa Real Oviedo na ameshinda nimepata faida ya 120k nimeamini hakuna option rahisi wala ngumu kwenye betting isipokuwa uchambuzi ndio muhimu hata direct win unacheza tu ilimradi uamini uchambuzi wako.
BOSNIA AND HERZEGOVINA: Premier League.Mkuu kwanza pole,ilikuwa ligi gan hiyo ulioweka 500k?
BOSNIA AND HERZEGOVINA: Premier League.
Sitaisahau hiyo siku dah na ilikuwa mara yangu ya kwanza kuweka stake kubwa kama hiyo nilikuwa najiwekea kuanzia elfu hamsini mpaka laki moja.
kwa sasa napumzika nba Miami alichonifanyia jana sina hamu na basketHivi GSW kwanini huwa anamalizia game vibaya, ikitokea hajafanya vizuri Q1, Q2 na Q3 kwa ujumla wake hasa hasa kwenye q1 basi Q4 huwa hafanyi kitu?
Wanaishiwaga pumzi au ndiyo mentality waliyojijengea?
Na leo na Houston ndiyo kaanza vibaya hatimaye kapigwa Q4 kashindwa hata kufikisha vikapu 50, kaondoka na kazi yote aliyoifanya q1 na q3 dah hii kubet ni kazi sana.
CC: koncho77, Buddy
Ukisikia mtaalamu wa NBA ni huyu yaani huyu hapa ni expert wa NBA mpaka anawajua wachezaji wa collegeHivi GSW kwanini huwa anamalizia game vibaya, ikitokea hajafanya vizuri Q1, Q2 na Q3 kwa ujumla wake hasa hasa kwenye q1 basi Q4 huwa hafanyi kitu?
Wanaishiwaga pumzi au ndiyo mentality waliyojijengea?
Na leo na Houston ndiyo kaanza vibaya hatimaye kapigwa Q4 kashindwa hata kufikisha vikapu 50, kaondoka na kazi yote aliyoifanya q1 na q3 dah hii kubet ni kazi sana.
CC: koncho77, Buddy
Msaada inagoma kujiunga pmbet sehemu ya password nmeweka mara kadhaa inagomaWale wa Pmbet tunyooshe mikono..tupeane uzoefu..binafsi ukiacha udhaifu wa kukata ile asilimia 18 tovuti yao iko user friendly ..hata kuweka na kutoa in fasta.
Bila shaka hii itakuwaWakuu tafadhali sana anayefahamu jina la hii web anisaidie maana kuna sehemu inatumwa lakn ukiomba link hupati wabongo bana!!!!
option ya m pesa ni miezi sasa imeandikwa hivi punde wakikamilisha hiyo tutaanza kuifikiriafikiriaWale wa Pmbet tunyooshe mikono..tupeane uzoefu..binafsi ukiacha udhaifu wa kukata ile asilimia 18 tovuti yao iko user friendly ..hata kuweka na kutoa in fasta.
Changanya herufi na mamba..unaweza kuweka herufi moja na namba 4 mfano..j2018Msaada inagoma kujiunga pmbet sehemu ya password nmeweka mara kadhaa inagoma