Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Leo wananikosesha pesa hivihiviBaba mimi tangu jana asubuhi 12000 yangu haipo kwenye account nililipa kupitia m pesa
Leo wananikosesha pesa hivihiviBaba mimi tangu jana asubuhi 12000 yangu haipo kwenye account nililipa kupitia m pesa
70k zangu ***** zitarud kwel vp uliwasiliana na voda au?Mi tangu juzi nasumbua nao nimewatumia evidence zote but hola kila nikiwauliza wananiambia wanashughulikia hivyo hakuna haja ya kuwatumia email tena maan tatizo langu linashughulikiwa ***** zao daa
Nilianza kwa kuchati now baadae wakanipa email yao ili niwasiliane nao moja kwa moja kuhusu tatizo langu na niwatumia sms ya mwamala ID no ya account nihivyo tu walivihitaji70k zangu ***** zitarud kwel vp uliwasiliana na voda au?
Mm hata meseji ya voda siioni.Nilianza kwa kuchati now baadae wakanipa email yao ili niwasiliane nao moja kwa moja kuhusu tatizo langu na niwatumia sms ya mwamala ID no ya account nihivyo tu walivihitaji
Yan usubr mpaka j4 wakat pesa za kanji znafaa kuliwa leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawapigia voda wananiambia mtandao nisubiri baada ya masaa 72 [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ivyo mkuu yaan mafala kweli.Yan usubr mpaka j4 wakat pesa za kanji znafaa kuliwa leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wajinga sana hao jamaa aiseeeNdio ivyo mkuu yaan mafala kweli.
Wanajua wataliwa tu na option zao masin pesa zangu 70k[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji31]Wajinga sana hao jamaa aiseee
Wamefanyajee mbonaa tumewasifiasana humuSijui kiherehere gani kilinifanya niende 1×bet[emoji22][emoji22][emoji22]
Twende Russia tu ndiosolnBaba mimi tangu jana asubuhi 12000 yangu haipo kwenye account nililipa kupitia m pesa
Nimetuma hela hata transection siion sijui ni voda sijui ni 1×bet maana nawapigia wananiambia mtandao mara sijui nn hata sielewi pumbafu sijui watarudisha pesa yangu?Wamefanyajee mbonaa tumewasifiasana humu
Mkuu tunasubir balaa zako hapaTwende Russia tu ndiosoln
Sina hamu nao leo, km siyo wao leo ningeamka shujaaSiku ya kufa nyani miti yote huteleza GSW wameniharibia pesa nzuri sana siku ya leo[emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa wamenizingua mpaka na mm nkawapga kiswahili si kila mmoja anajua English [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()