Leta kokoro tutembee nalo.Wale wa 10 min X uhakika 100%
Ahahaha... Hao jamaa wanavyowatoa jasho.....Daaah.... PoleniJana deposit 1xbet kwa mpesa ilikuwa safi ila leo nimedeposit lakin hata hao voda hawajarudisha msg na hela ishakatwa
Leta mkeka sio unaleta ya bet woonWale wa 10 min X uhakika 100%
Usiulize lete vitu watu wachekecheWale wa 10 min X uhakika 100%
Sawa sawa mzee wa ten minsWale wa 10 min X uhakika 100%
Over 1= goli mbili kuendelea but likipatikana moja stake inarudishwaWadau tofauti ya over 1 goal na over 1.5 goal ni nini?
Duuuu aisee hata mda huu kuna jamaa yangu nae kafanya mwamala hawajamtumia voda sms kawapigia wakamwambia asubiri masaa 72Nawapigia voda wananiambia mtandao nisubiri baada ya masaa 72 [emoji23][emoji23][emoji23]
Lete vitu mkuuWale wa 10 min X uhakika 100%
Mkuu tatizo lipo kwa Voda hawaja kutumia Id ya muamala.Nawapigia voda wananiambia mtandao nisubiri baada ya masaa 72 [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhindi kachonga dili nini?Duuuu aisee hata mda huu kuna jamaa yangu nae kafanya mwamala hawajamtumia voda sms kawapigia wakamwambia asubiri masaa 72
Ndio hivyo mkuu voda nawenyewe wathenge tu masaa 72¡Mkuu tatizo lipo kwa Voda hawaja kutumia Id ya muamala.
Aisee na wale jamaa wanahitaji ndani ya dakika 3 ukamilishe.Ndio hivyo mkuu voda nawenyewe wathenge tu masaa 72¡