Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

98%

Ajax Amsterdam v Feyenoord Rotterdam
Totals 1,5 - Over1.16

Bayern Munich v Werder Bremen
3 Way - 1 1.18

AS Monaco v FC Metz
3 Way - 1 1.40

FC Schalke 04 v Hannover 96
3 Way - 1 1.64

POINT TATU
 
Melbourne City v Adelaide United
Home Team Total Goals : Over(2.5)
1.95
 
Nilianza kwa kuchati now baadae wakanipa email yao ili niwasiliane nao moja kwa moja kuhusu tatizo langu na niwatumia sms ya mwamala ID no ya account nihivyo tu walivihitaji
Hii tabia inanikera sana.

Yaan unatatizo, umekwama

Afu Unawasiliana na MTU wa support service.

Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"

Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.

Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.

Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.

Utaona tena wamekubwagia link nyingine,

eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"

Haya, sio mbaya...

Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.

Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.

Utadhani ni computer generated replies.

MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.

ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.

Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.

Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.

Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.

HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
 
Narudi princess mkuu maboya mno hao.
 
Kweli kabisa, Ndio sabab mzigo wangu wote naupeleka PMbet...uko naogopa siku wakipotea ghafla hewani unaweza jikuta unalia mwenyewe
 
Hii tabia inanikera sana.

Yaan unatatizo, umekwama

Afu Unawasiliana na MTU wa support service.

Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"

Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.

Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.

Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.

Utaona tena wamekubwagia link nyingine,

eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"

Haya, sio mbaya...

Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.

Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.

Utadhani ni computer generated replies.

MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.

ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.

Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.

Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.

Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.

HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
Kweli kabisa mkuu hovyo sana hawa jamaa kwenye customer care
 
601a1c2a1b76265b1cb2770cbe21bead.jpg

Pesa hiyo hapo
Huyu Yanga leo huyu... Ha ha haaaaa.
 
Back
Top Bottom