TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,764
- 1,836
So far hakuna kampuni bora kama princessbet.Hii tabia inanikera sana.
Yaan unatatizo, umekwama
Afu Unawasiliana na MTU wa support service.
Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"
Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.
Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.
Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.
Utaona tena wamekubwagia link nyingine,
eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"
Haya, sio mbaya...
Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.
Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.
Utadhani ni computer generated replies.
MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.
ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.
Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.
Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.
Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.
HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
1xbet iko hyped tu nothing more out there.