DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Huyu jamaa sjui anachobisha nn?hakuna 100% sure kwenye betting acha ubishi.
Betting ingekua 100% basi kampuni zingefilisika.
Anashndwa tu kusema wazi KUA anabahati tu na hiyo option..
Ila sio kuwaaminisha wenzie kua hyo NI 100% sure.
HAYA NDO YALE YALE, KESHAWAAMINISHA WATU KUA UHAKIKA NI 100%.
AFU MKEKA WA MTU Alokufata kwa imani ya uhakika 100% UNACHANIKA
HAPO SIJUI ATAJIBU NN.