2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
Ni upuuz tu wa mitandao yetu sasa kma kuna tatiz la kimtandao kwa nini wasiwatahadhalishe watej mapema ili wasifanye miamala kupitia livoda lao hiloMuhindi kachonga dili nini?
Ni upuuz tu wa mitandao yetu sasa kma kuna tatiz la kimtandao kwa nini wasiwatahadhalishe watej mapema ili wasifanye miamala kupitia livoda lao hiloMuhindi kachonga dili nini?
Kwahiyo kama hujakamilisha?Aisee na wale jamaa wanahitaji ndani ya dakika 3 ukamilishe.
*****
Baba mimi tangu jana asubuhi 12000 yangu haipo kwenye account nililipa kupitia m pesa
Wakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
Apo ndio sijajua next itakuje lakin nilisoma tems zao 3 Min complete Transtion.Kwahiyo kama hujakamilisha?
1xbet dakika tano no goal odd 1.1Wale wa 10 min X uhakika 100%
Inamaana hela ndio inakuwa imeenda?Mnafuata procedure....ni lazima uanzie kwenye website au app. Anza kwa kuclick top up...chagua njia unayotaka kutumia...
Isiishe tu 0.0![]()
First gol hapa likifungwa la
Mkono or heard ktu lost
Kampuni hiyo ni pasua kichwaWakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
Over 8.5 zinatoka hapo,chagua zako au weka zote kama una moyo
Hakuna option ngumu kama hii kwa match ambazo hazieleweki kuna draw ujue!!![]()
First gol hapa likifungwa la
Mkono or heard ktu lost
Kampuni hiyo ni pasua kichwa
Mnawasifia kweli kweli halafu mnaanza kulalamika tenaWamefanyajee mbonaa tumewasifiasana humu
Haswaa![]()
Pesa hiyo hapo