Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huezi amini jana imeniokoa maana man u alishindwa toa over
Leo nimewahi toa tena nimepata kafaida ka 90 hivi maana bologna naona hawezi funga Tena

Wacha nimpe real
Keshapgwa kimoja
 
Wakuuu nipeni ushauri hii option nimeikuta ice hokey 1Xbet mnaionaje tuijadili DeepPond ushauri mkuu
Screenshot_2018-01-21-18-54-37.png
 
Duh, bora nika cash out fasta

Yaan tokea half time mpk sahv club bruggle kapiga shuti moja tu golini.

Afu Antwerp anacheza possession.

Uhakika wa over 2.5 ushakua mgumu


Hahahaha wametoa tena Over 3.5 kbs
 
In play maanina ina pesa watu wanafunga 1st half tu tokea jana
 
Back
Top Bottom