Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

85b5b4cade4d87c982550927bc01453a.jpg
 
Duh, bora nika cash out fasta

Yaan tokea half time mpk sahv club bruggle kapiga shuti moja tu golini.

Afu Antwerp anacheza possession.

Uhakika wa over 2.5 ushakua mgumu
 
Duh, bora nika cash out fasta

Yaan tokea half time mpk sahv club bruggle kapiga shuti moja tu golini.

Afu Antwerp anacheza possession.

Uhakika wa over 2.5 ushakua mgumu
Mkuu vip kudeposit kunasumbua saiv mtandao???
 
Duh, bora nika cash out fasta

Yaan tokea half time mpk sahv club bruggle kapiga shuti moja tu golini.

Afu Antwerp anacheza possession.

Uhakika wa over 2.5 ushakua mgumu
Hawana kucashout mkuu???si unasell odd ??
 
Duh, bora nika cash out fasta

Yaan tokea half time mpk sahv club bruggle kapiga shuti moja tu golini.

Afu Antwerp anacheza possession.

Uhakika wa over 2.5 ushakua mgumu
Duh, kumbe nlicheck vibaya.

Club brudgge Hajapiga haya shuti moja golini.

Tokea half time imeanza
 
Duh, bora nika cash out fasta

Yaan tokea half time mpk sahv club bruggle kapiga shuti moja tu golini.

Afu Antwerp anacheza possession.

Uhakika wa over 2.5 ushakua mgumu
Dah, yaan ndo nmemaliza Ku cash out jamaa wanachomoa goli.

Dah, over 2.5 eti imetick
 
Hasara take ndo iyo hapo kwny mechi ya brugge
Huezi amini jana imeniokoa maana man u alishindwa toa over
Leo nimewahi toa tena nimepata kafaida ka 90 hivi maana bologna naona hawezi funga Tena

Wacha nimpe real
 
Jamani eeeh!! Tuombeane Bayern na Lazio washinde maana nimeweka cheti cha ndoa. Wanzao YANGA (win), Spal(over 1.5), Alves (over 1.5) wamefanya nilichowatuma
Lazio atapata comfortable win maana kaweka cha 4
 
Back
Top Bottom