Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimemfuata Club Brugge InPlay ... odds 4.32. Ngoja nisubiri nione.


upload_2018-1-21_17-2-55.png
 
kuna yeyote ambae kafanikiwa kudeposit 1xbet mida hii wadau?
 
[emoji23] [emoji23] mkuu mimi nawahama wameniudhi sana leo tangu saa 5 asubuhi nimewithdraw mkwanja haujaingia mpaka sasa
mkuu umewithdraw kwenda mtandao gani? me nimedeposit toka saa6 mpaka mda huu pesa haijaingia..hawa jamaa wapuuzi kweli
 
Back
Top Bottom