Okay mdau...... 100% uhakika 10 minutesBasi mkuu time nyingine weka kama ku a atayeamua kufuata afuate at his own risk.....
Yeah ilikua dk ya 17 tu 2-0....imetoa sorry sikua hewaniPossibility ni kubwa hapa mkuu nikufuate?
What is 10% mins??ndioomaana tukohapa kushare ideas hakuna mwenye guarantee ogga ya ov wala 10mins....mwenye kuweka aweke watakaofwata watafwata......Ivi mkeka wa 10 minutes pia wakumsubilia mtu akuekee u-copy?
BET WONAtletico Mineiro v Democrata GV
Over 2.5 HT
Odds 2.50
Bet wonNajaribu barceloba first ten minutes x..odd 1.2
Kwani Lyon unawachukuliaje kaka ni kama Lipuli siyoJaman psg ww mungu anakuona
Hata mimi mkuu wana kilo 7 yangu uyu fekir **** kabisaPsg mmeshikilia pesa yangu...