The conceited
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 449
- 500
wakuu samahani,kama kuna mtu aliwahi kula hata timu tisa za perfect 12 ya mbet atupe maujuzi mana nimekuwa nikifata odds alizoweka nimekuwa muhanga wa kuambulia patupu.
Kwene vibanda mkuu kuna option zingine hazipo mkuuWakuu nina swali.
Sijawahi kubet kupitia vile vibanda. Hivi hizi option zote za kwenye app na web nitazikuta kule kwenye vile vikaratasi!
Jaribu kuweka game Ngumu me niliogopa AC Milan... ziwe Ngumu haswaa mfano game ya inter vs as Roma... genk vs anderlek
Alafu cha ajab ungeweka stake kubwa let say laki ili umpige laki5,,,ungeshangaa ingegoma![]()
Bet Won
Tatizo unachelewa kutuma mzee.![]()
Uhakika n 100% sure..... 10 min X uhakika ni sanaaa... another win for today.. kama ulifuata.... fresh wadau
BET WONReal Betis v Barcelona
Over/Under : Over(2.5)
1.33
Mdau kutoka bar mpk meridian kuna umbal thus why nachelewa mdau... but tupo pamojaTatizo unachelewa kutuma mzee.
Hahahahahh, Dadeeeki[emoji23]Mdau kutoka bar mpk meridian kuna umbal thus why nachelewa mdau... but tupo pamoja
BET WONReal Betis v Barcelona
Over/Under : Over(3.5)
1.43