ok![]()
3rd win for today. 100% sure.. uhakika... uhakika n 100% . 10 min X
Hongera mkuu naona anaugulia maumivu[emoji23] [emoji23]BET WON
LostLyon v Paris Saint Germain
Total Corners : Under(8.5)
1.77
Asante...aliingia cha kike!!nimewakubali sna PMbet wana mechi nyingi inplay Premier walikua wananibana tuHongera mkuu naona anaugulia maumivu[emoji23] [emoji23]
Ha ha ha....Raha sana Odds ambazo ungezitafuta kwa kupekua na kupekua eti nimezipata ndani ya 10mins na kumpiga
Pole sana.PSG ametia sabuni ya unga kwenye mchuzi mamaeee!!
Hongera sn mkuuView attachment 681870 View attachment 681870 View attachment 681872
Asante Pdidy kokoro lako la secialist tips linanipa pesa sana ubarikiwe
Pole sana chiefHivi kwenye hii biashara kuna mwingine anabalanciwa km anavyonifanyia mimi huyu Kanji???? ... why is it like this aiseeee?
Sampdoria/Fiorentina niliwaomba over 11.5 corners wakiwa half time. Wametoa corner 11 taslimu. Yani corner moja imenikosesha tena 107K ... mmmmh
View attachment 681837
Ila ilkua in play mkuu, timu nyng zmekula redcardPole sana chief
Leo ilikuwa siku nzuri sana kwa betting lkn huwezi amini imekuwa siku nyingine ya hasara kwangu.
punguza hasira kakaPSG ni team ya mashoga
Kaka msaada jins ya kudro pesa xbetPole sana.
Mm mwanzoni nlimpa
PSG most shots on target- yes
Nkaona shots on target ziko 3:2 afu ndo PSG anakula red card.
Basi Nkajua sina changu tena
Sasa ikanbidi nichukue plan B.
Nkaenda fasta inplay.
Nkaweka,
PSG under 1.5- 1.67 odds WON
Full match under 3.5- 1.4 odds WON
Kona handicap(5:0)- 2.01odds WON
Next goal-No - 1.5 odds LOST
MUNGU SAIDIA, 3 Zimetoka nmepoteza 1
Sjafanya hyo kitu tokea nmejiunga mkuu.Kaka msaada jins ya kudro pesa xbet
Unahitajika tena jukwaani mkuu
Kwa hyo hapa uki lost moja unapoteza zote?Sio mbaya kwa leo
![]()