Me nawaelewa kwenye under\over kwenye quarters basi me 2way sio mzuri hapo..
Pamoja kaka!!Cool cool.
Tuko pamoja mkuu.
2 way inalipa kwenye playoffs siyo regular.
Nilitumia Beyonickumbe lilikua tatizo la mtandao unaotumia sasa
cha kufanya fanya kama unadeposit kiadi kilekile kisha ingiza hizo codnumber zilizokiluja kwenye sms naamini itaingia.
NB kwa njia ya dusupay
Pole sn Chief ... faida ya TZS 4,000/- uloitaka imekuponza.
Yani Kanji muda mwingine ni km anaroga ... hapo ungeweka double chance 1/2 ungeshangaa inaisha droo
ndio hiyo hiyo we fanya kama unaongeza salio ikifika hatua ya kuweka reference number weka hiyoNilitumia Beyonic
Andika namba yako ya sim ikianza na 2557mkuu em niambie hapo namba unaiandika kwa mfumo upi? Na maelezo mengine imenichanganya aisee![]()
Na hapo kwenye your name ndio unaweka email?Andika namba yako ya sim ikianza na 2557
Transaction ID kama n voda zina anza na 5A
Kama ni tigo wame andika muamala
Username yako
Weka email address yako ulio sajilia
Swadakta mkuu, usiache kushare nasi jukwaaniPamoja wakubwa.
Nimekuwa busy yaani vitu haviishi, kiasi kwamba nashindwa kuzisoma game kibiashara.
Ila tuko pamoja, nimeanza utaratibu wa kucheza siku kadhaa tu, game 1 kwa siku hiyo.
Kama leo nimeona kuna game nyingi, tunaweza kupata game moja.
Swadakta mkuu, usiache kushare nasi jukwaani
Dah! Mpaka saivi nimelala tu mkuu Depay mjinga sanaDaah kuna mwana wa Laki sabaa yulee yani...!! PSG mamaee zakee....unawezaa liaa machozi ka mtotoo..
Sasa si kapigwayeye alisema aliwapa double chance labda kama alitudanganya
labda kama alicheza x2Sasa si kapigwa
Sawa mkuuPamoja wakubwa.
Nimekuwa busy yaani vitu haviishi, kiasi kwamba nashindwa kuzisoma game kibiashara.
Ila tuko pamoja, nimeanza utaratibu wa kucheza siku kadhaa tu, game 1 kwa siku hiyo.
Kama leo nimeona kuna game nyingi, tunaweza kupata game moja.
mkuu hauko peke yako psg aliwah kunichania lak sita alitoka droo huku wenzake wote siku hiyo walishinda wikend ya kwanza hiyo.Sasa si kapigwa