Kiongozi hii imenipita lete nyingine wanguInplay
[emoji460]
NK Lokomotiva Zagreb vs. HNK Cibalia-Vinkovci
Total (1st half): Over 0.5
1.60
SINGLES
TOTAL ODDS:
1.70
Gd luck
Kiongozi hii imenipita lete nyingine wanguInplay
[emoji460]
NK Lokomotiva Zagreb vs. HNK Cibalia-Vinkovci
Total (1st half): Over 0.5
1.60
SINGLES
TOTAL ODDS:
1.70
Gd luck
BET WONGame ya CSKA Moscow tujaribu
HT Over 2.5
CSKMoscow odds nzuri, ngoja niwavizie kwenye inplayBETLOX TIPS
[emoji385] [emoji387] [emoji385] [emoji387]
Club Friendly Games
[emoji460]️CSKA Moscow - Horsens
Pick [emoji117] (1)
1.64
England Premier League
[emoji460]️Swansea vs Liverpool
Pick [emoji117] (X2 and Ov(2.5))
Development League
[emoji460] Celtic U20 - Ross County U20
Pick [emoji117] (1)
TOTAL ODDS: 3.80
GOODLUCK AND WIN BIG TODAY
Bet wonHapa game ya cska moscow friendly haikosi 2.5 over
mkuu em niambie hapo namba unaiandika kwa mfumo upi? Na maelezo mengine imenichanganya aisee![]()
Mi nilivyo tuma pesa imeonesha hela imeenda M lipa et.Mimi naona njia nyepesi ni hii mkuu ... hayo mambo ya DusuPay siyajui vzr.
1. Click Deposit (Hapo kwenye My Account)
View attachment 682222
2. Chagua Mobile Payment ...
View attachment 682223
3. Weka Amount, Namba yako then click Confirm. Utatumiwa ujumbe kutoka Beyonic utakaokupa maelekezo ya jinsi ya kudeposit.
View attachment 682224
View attachment 682225
Ujumbe unasomeka km hivi ...
"Account Deposit. Piga *150*00# Chagua namba 4:Lipa kwa M-Pesa Chagua namba 4:Ingiza namba ya kampuni: 400700 Ingiza namba ya kumbukumbu: 0081bet. Ingiza kiasi cha malipo. Ingiza namba ya siri".
ahhaha yan mkuu nikichek picha yako na hiyo comment du naishia kucheka japo sio mazuriMi nilivyo tuma pesa imeonesha hela imeenda M lipa et.
Mi nilivyo tuma pesa imeonesha hela imeenda M lipa et.
255758764500mkuu em niambie hapo namba unaiandika kwa mfumo upi? Na maelezo mengine imenichanganya aisee![]()
jaman your name ni jina ulilojisajilia kwenye hiyo kampuni ya kubetNa hapo kwenye your name ndio unaweka email?
Wakuu 20000 tayari imeingia bado 50000 sasa ivi255758764500
hapo kwenye transaction ID ni ile namba ya muamala kwa mfano
5AM514FLX9K Imethibitishwa
tarehe 22/1/18 saa 2:25 PM
Pokea kiasi cha Tsh4,000.00 kutoka kwa -
Salio lako jipya la M-Pesa ni Tsh600.40.
hiyo namba ya mwanzo ndo unajaza kwenye transaction Id
unaona sasa mambo yalivyo matamu kumbe shida ilikua kwakoWakuu 20000 tayari imeingia bado 50000 sasa ivi
na ww ulikua umekwama toka jana?Wakuu 20000 tayari imeingia bado 50000 sasa ivi
VP washaruhusu deposit kwa mpesaNimeanza kutumia play master leo. Nilifunguaga account wakanipa bonus ya 2000 Ila sikuwahi kuitumia. Baada ya Mr. Wise kuwasifia kuhusu kuweka mechi nyingi inplay nikaona niwajaribu. Nimeona wana option ya ku cash out. Pia nimeona wana option ya kuclear bet history kwa wale ambao hawapendi kuona zile lost. Nimegundua pia kupata odds 2 kwenye inplay siyo kazi ngumu sana. Na pesa nyingi ipo huku
Ndio majibu yao hayo lakini pesa hawaletiWasiliana na 1xbet me nimewachek wakaomba msg ya voda nikawatumia wameniambia nisubir