kama SMS ya dusupay imeingia, copy namba ya muamala wako nenda kamalizie kujaza kule, pesa itaingia. hata Mimi Jana nimedepost sikuletewa sms ya muamala wala ya dusupay. Leo asbuhi ndiyo sms ya muamala toka voda ikaingia, lakini nilijaribu kukopy muamala ili nimalizie pesa iingie lakini ikagoma kuingia. ilikuja kukubali pale nilipochat nao m.lipa wakanitumia confirmation ya dusupayduuh me bado 30000
hapa naona sms za dusapay tu kwenye account hela siioni
stake weka balance yote mkuu hapo kesho itasoma 270k hahahwakuu hapo mnasemaje?![]()
Mkuu mimi hao jamaa nilichowapendea wana Inplay mechi nyingi mnoo mpka za vichochoroniNimeanza kutumia play master leo. Nilifunguaga account wakanipa bonus ya 2000 Ila sikuwahi kuitumia. Baada ya Mr. Wise kuwasifia kuhusu kuweka mechi nyingi inplay nikaona niwajaribu. Nimeona wana option ya ku cash out. Pia nimeona wana option ya kuclear bet history kwa wale ambao hawapendi kuona zile lost. Nimegundua pia kupata odds 2 kwenye inplay siyo kazi ngumu sana. Na pesa nyingi ipo huku
Ongeza wolves 23Inplay
Swansea City U23 v Burnley U23
Over/Under : Over(2.5)
1.30
kama SMS ya dusupay imeingia, copy namba ya muamala wako nenda kamalizie kujaza kule, pesa itaingia. hata Mimi Jana nimedepost sikuletewa sms ya muamala wala ya dusupay. Leo asbuhi ndiyo sms ya muamala toka voda ikaingia, lakini nilijaribu kukopy muamala ili nimalizie pesa iingie lakini ikagoma kuingia. ilikuja kukubali pale nilipochat nao m.lipa wakanitumia confirmation ya dusupay
Elber sishauri sana anaweza ishia na 1-0 hana adabu26 odds[emoji116][emoji116][emoji116]![]()
Game ya inplay...aston villa U23Ongeza wolves 23
0715 222 132 longa nao mkuUnachat vp na hawa M Lipa maana 15k yangu imegoma kwao
0715 222 132 longa nao mku
Twende pamoja mkuu buddy
hahh hamnaga option rahisi mkuu![]()
Mbna haka ka option kananivutia