Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,828
- 4,740
Yeah whatsappKwa WhatsApp?
Yeah whatsappKwa WhatsApp?
Yeah whatsapp
yehKwa WhatsApp?
BET WONInplay
Hatta U21 v Al Ain U21
Over/Under : Over(4.5)
1.58
komaa nao mkuu ukichat kizembe wanatambia ya kusoma SMS na kupotàezeaAhsante mkuu! Wacha nichat nao..
komaa nao mkuu ukichat kizembe wanatambia ya kusoma SMS na kupotàezea
Hao jamaa ni wezi,,mimi toka juzi wananizungusha ,,nimewatumia ushahidi woote ila hela haijarudi,,,watch outMi nimefanya hivi, Lakini hela haijaingia hadi leo
tumia hata mkwara wa kipolice mkuu sms yako itajibiwa haaraka sanaNdiyo wamenipotezea aiseeh, unakomaa nao vipi?
Mkuu M lipa unachat nao vipkama SMS ya dusupay imeingia, copy namba ya muamala wako nenda kamalizie kujaza kule, pesa itaingia. hata Mimi Jana nimedepost sikuletewa sms ya muamala wala ya dusupay. Leo asbuhi ndiyo sms ya muamala toka voda ikaingia, lakini nilijaribu kukopy muamala ili nimalizie pesa iingie lakini ikagoma kuingia. ilikuja kukubali pale nilipochat nao m.lipa wakanitumia confirmation ya dusupay
Inplay
Hatta U21 v Al Ain U21
Over/Under : Over(4.5)
1.58
Yaani nimewazingua voda, 1×bet pamoja na M lipa aisee ndio maana mkwanja umeingia aisee.tumia hata mkwara wa kipolice mkuu sms yako itajibiwa haaraka sana
But why all this while is ur rights napata uwoga nao sasaYaani nimewazingua voda, 1×bet pamoja na M lipa aisee ndio maana mkwanja umeingia aisee.![]()
![]()
Mm mwenyewe nashangaa mkuu yaani nataka tu nije nitoe pesa yangu hukuBut why all this while is ur rights napata uwoga nao sasa
Hawajui kumbembeleza mteja aiseeBut why all this while is ur rights napata uwoga nao sasa