Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA WA PESA No.1

Odds 2.1

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180122-192407.png
 
Denilzispor ft gg &ov1.5

Galatasaray ht OV 0.5/1.5 ft
Denizlispor vs Adanaspor
Score: 2 - 1
Min: 71

[emoji460] Goal!!
Adanaspor

INAITWA N PLAY

GG N OV1.5/

[HASHTAG]#BOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
 
Ndio ivyo mkuu ili niweze kuondoa pesa yangu huko sio mchongo
huko mchongo upo sema presha sana. maadam kuna customer care ya m lipa huwezi poteza kitu. costomer care ya 1xbet ni kweli kama unashida ya haraka huwezi saidiwa kwame. kuna website ya beyonic, dusupay hawa wote wanapokea malalamiko na kuyafanyia kazi. siyo 1xbet tu mkuu
 
Hivi M lipa nao ni hukohuko et?
 
Maana nimeshangaa wamenisaidia faster
 
Hivi M lipa nao ni hukohuko et?
mlipa ndio hao hao, unapotuma pesa lazima ipitie kwao na unapowithdraw pesa inapitia kwao ndio inaingia kwenye mitandao ya sim. ndio maana kama muamala umechelewa ukiwachat watakwambia mitandao wao ulikuwa unasumbua. SAA zingine tunaweza tukawa tunawalaum 1xbet kumbe tatz haliko kwao kabisa.
 
Kweli mkuu
 
Nimeamua kuwatoa Galatasaray ktk ban list yangu, I hope sitajutia.
 
INPLAY
ISMAILY OV 2.5/3.5

BRONDBY
FT OV 2.5
Brøndby vs Guangzhou Evergrande
Score: 3 - 3
Min: 64

[emoji460] Goal!!
Brøndby

*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +13169907694*

[HASHTAG]#boooooooom[/HASHTAG] brondby
 
Back
Top Bottom