911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,469
- 4,312
yeye alisema aliwapa double chance labda kama alitudanganyaDaah kuna mwana wa Laki sabaa yulee yani...!! PSG mamaee zakee....unawezaa liaa machozi ka mtotoo..
yeye alisema aliwapa double chance labda kama alitudanganyaDaah kuna mwana wa Laki sabaa yulee yani...!! PSG mamaee zakee....unawezaa liaa machozi ka mtotoo..
Unahitajika tena jukwaani mkuu
Yeah game kama saba Jana meogopa tia pesa match ya spurs under na kweli zikatoa nikaona nilale tu!! Maana 4quarter pekee ndio wamefikisha vikapu 50.5 zingine wamembwela tu.Pamoja wakubwa.
Nimekuwa busy yaani vitu haviishi, kiasi kwamba nashindwa kuzisoma game kibiashara.
Ila tuko pamoja, nimeanza utaratibu wa kucheza siku kadhaa tu, game 1 kwa siku hiyo.
Kama leo nimeona kuna game nyingi, tunaweza kupata game moja.
Hiyo SMS inasemaje?Wale tuliodeposit jana 1xbet kwa mpesa naona sasa hiv ndio msg ya mpesa imerud kwangu, ila account bado zero
Sababu hukuweka hizo referenceWale tuliodeposit jana 1xbet kwa mpesa naona sasa hiv ndio msg ya mpesa imerud kwangu, ila account bado zero
Karibu mkuu.Pamoja wakubwa.
Nimekuwa busy yaani vitu haviishi, kiasi kwamba nashindwa kuzisoma game kibiashara.
Ila tuko pamoja, nimeanza utaratibu wa kucheza siku kadhaa tu, game 1 kwa siku hiyo.
Kama leo nimeona kuna game nyingi, tunaweza kupata game moja.
Reference namba ndio zimerudHiyo SMS inasemaje?
Reference namba hazikirud janaSababu hukuweka hizo reference
Yeah game kama saba Jana meogopa tia pesa match ya spurs under na kweli zikatoa nikaona nilale tu!! Maana 4quarter pekee ndio wamefikisha vikapu 50.5 zingine wamembwela tu.
Karibu mkuu.
Me nawaelewa kwenye under\over kwenye quarters basi me 2way sio mzuri hapo..Kwa sasa timu pekee ambayo unacheza under ukitaka hata mshahara wote ni Boston Celtics, hawa jamaa wanapiga defense si mchezo.
So far Spurs ndo inaongoza kwenye defensive ratings ikifuatiwa na Boston, ila nimetokea kuwaelewa sana Boston kwenye Under (total points).
kumbe lilikua tatizo la mtandao unaotumia sasaReference namba ndio zimerud
Hazisaidii mkuu kikubwa walete pesaReference namba ndio zimerud