Yaan mi mwenyewe nilituma pesa nikaona imeenda kwa m lipa ndio nikatafuta namba facebook wakanisaidia.Samahani, kwani hao M Lipa ni nani? na namba yao ni ipi?
Maana yke ni kwamba,hiyo to be owned goal inamaan gani
Hahaha! Hata mimi nimewashangaa aseeWana majibu Mubashara hadi raha....eti the Decision to use your Account is up to you.....kweli akufukuzae hakuambii toka.....
[emoji15] [emoji134]Saiv nataka kuwithdraw hela wanagoma
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]Nataka kutoa hela wananiletea mambo ya offer mi nataka offer yao sasa wanapigo za *******
Mkuonahivyoo wamekuwa wengi pesazimewazidiHahaha! Hata mimi nimewashangaa asee
We waache mi huwa nikikomalia kitu lazima kitimee.[emoji15] [emoji134]
1×bet sio mchongo heheheeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]