Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

. Korooookorooo lingine limetema

3+odds mapema lilikuwahapa
 
WALIOCHAMBUA [HASHTAG]#BUTENEKE[/HASHTAG] TIPSHALISIMBAYA
 
Mkuu achana na Hizo mambo utalia ! Wekeza kwa muhindii

Hzo ishu zinadalili ya utapeli.

Hamna jipya hapo
 
WALIOCHAMBUA [HASHTAG]#BUTENEKE[/HASHTAG] TIPSHALISIMBAYA
 
Hzo ishu zinadalili ya utapeli.

Hamna jipya hapo
Kabisa Mkuu Na hapo sio kwamba ukiwapa hyo 67 unakaa unaisubiri buku 3, Hapana ***** yani mpaka ushawishi watu watano nao watoe hyo 67 then usubiri baada ya wiki ndo upate buku 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu si uzombie? Yani unaweza ukakosa pia
 
Lakini huwezi amini wapo Watu wanaipigia Debe wana kamsemo kao eti Teknolojia imekua! Hao watu Tanzania nzima Hata Fremu hawana *****, hawana ofisi kwahyo siku ukipigwa hakuna wa kumlaumu, na hata hvyo Haijulikani mmiliki wa hizo pumba ni nani! Bora niendelee kubeti , yani nikiliwa najua kabisa Liver kafanya ujinga ndo maana nimeliwa
 
wakuu msaada wenu plz nimedeposit pesa toka ijumu 1xbet hadi leo pesa aijaingia nasiji ntawasiliana nao vp.kwny email yao wameweka macomplication kibao mi hata sielewi.km kuna mtu ananamba za simu anisaidie
 
Mwambieni huyo agent atuachie platform yetu ya kubeti. Namshauri afungue uzi wake atapata wafuasi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…