Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We acha masihara. Jana nimempa liverpool kwenye hiyo double chance kapigwa 1. Mwindi ni zaidi ya jini acha uchawi.

Ushauri huo mkeka ni mzuri ila lunguza baadhi hapo upate atlest odds 3.
Kazi njema
 
wakuu huwa nasikia mkisema, mfano Jana liver kaharibu kwamba unaweza cash out kama mechi huielewi mwelekeo. kwa watumiaji wa 1xbet unacash out vipi mechi ikiwa hewani?
 
Mkuu haya mambo hayana mwenyewe,shuhudia zaga hapo halikuitaji timu za odd ndogo,by the way mdau njoo tusuke perfect yale maeneo yetu ya kule
 

Attachments

  • IMG-20180123-WA0006.jpg
    IMG-20180123-WA0006.jpg
    83.1 KB · Views: 49
Back
Top Bottom