Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya Eibar kuharibu nikampa 76ers win q1 premierbet.
Nikasubiri line-up nikawaona Saric, Embiid na Simmons wapo nikaingia princessbet nikawapa win half time inplay nikalala asubuhi nakuta zote mbili zimetiki.
Asubuhi yangu imekuwa mubashara kabisa

Hlf hii ya Eibar mbona km ulijitabiria mapema.

Huyu Philadelphia namlia timing siku moja nimuwekee mshahara hlf nikishinda nampumzisha.

Jana alikuwa na odds ngapi?
 
Wadau kuna game ya tennis huko R.Nadal akiwa ndani na set ya kwanza kaongoza kwa 6:2 ila sasa game ipo set ya 2 cha kushangaza ni kuwa wameipa over/under 34.5 wakati naona kama Nadal akishinda tena set ya 2 na game kuishia hapohapo na hawawezi vuka hata 25.5?
 
Back
Top Bottom