Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi siku hizi nasubiri hadi mwalimu agawe mtihani, nifungue ndio nijue cha kufanya kama ni over 2.5 au home to win NILL.
Mambo ya kusoma sana halafu yanatoka mambo mengine napumzika.
 
*****, kila siku game 1 inaniharibia. Juzi liver jana Atletico. Mtaji umeisha nimebakiwa na 1000. Naenda inplay naenda kupiga single game mwanzo mwisho mpaka nipandeshe mtaji.

Hii kazi ni ngumu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…