Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

d44f63d990f8d8ab71ae322d5e5e0563.jpg
combooo mapemaa ilikuwahapa
Cong's all
Kaka naomba playstore icon ya hii app screenshot
 
Ndio ndugu
Gsw kafikisha 121.5

Hongera, mimi kanizingua Q1 kashindwa kabisa kufurukuta kufikisha vikapu 59, ilihali New York knickers walifikisha mpaka points 31 nikapotezea 82,000/=, na Q4 kanipotezea tena 25,000/=

Leo kaondoka na laki yangu namuona
 
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom