Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau wadau me ninacho kiamin hii option ya 10 min X uhakika ni sanaaa... sema leo team iliyochana sikujua kwamba inacheza cup... huwa sibet hata siku moja team ikicheza cup.. huwa na bet league tu.. proper analysis kwenye 10 min X uhakika ni sanaaa wadau..... 100%.

Tupo pamoja Prof, uwe unashare mapema mapema
 
MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
Kuna watu mko km mmelaaniwa hivi.
(Samahan kw kauli ngumu)

Ila sometimes inabd TU iwe hivyo

Hiyo link ynyw ulotoa inafungua kitu tofauti kabisa.

Bad enough kilichoko huko ni full stories za udaku , majungu na fitna

Hakuna hata harufu wala dalili ya tips wala ishu yyt inayohusu mikeka.

Hivi,
Ulishndwa nn kusema wazi kua unatangaza blogspot ya udaku.

Shame on you!
Habar za matangazo ya udaku peleka jukwaa LA matangazo na kwingineko.

Huku ni mikeka TU.

SAMAHAN SN WAKUU NA MODS KWA KUTUMIA LUGHA NGUMU.

MTANISAMEHE,
SOMETIMES WATU KM HAWA WANAKERA SANA.
Screenshot_20180124-002555.png
 
Baaadaya basket kutiki..volleyball wamemalizs kazinaoowaliofwata Cong's

7c685a853eb0563d37cb38c1b2fcd129.jpg
 
Kuna watu mko km mmelaaniwa hivi.
(Samahan kw kauli ngumu)

Ila sometimes inabd TU iwe hivyo

Hiyo link ynyw ulotoa inafungua kitu tofauti kabisa.

Bad enough kilichoko huko ni full stories za udaku , majungu na fitna

Hakuna hata harufu wala dalili ya tips wala ishu yyt inayohusu mikeka.

Hivi,
Ulishndwa nn kusema wazi kua unatangaza blogspot ya udaku.

Shame on you!
Habar za matangazo ya udaku peleka jukwaa LA matangazo na kwingineko.

Huku ni mikeka TU.

SAMAHAN SN WAKUU NA MODS KWA KUTUMIA LUGHA NGUMU.

MTANISAMEHE,
SOMETIMES WATU KM HAWA WANAKERA SANA.
View attachment 683384
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu naona umechafukwa aisee
 
Back
Top Bottom