Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmmh haya magundu sasa

Mbona wengine wakileta mikeka yao tufate huwa hamuongei sana?


Kunachanika mkeka jambo la kawaida ndio maana halisi ya kubet.
Hiyo maana halisi ya kubet unaitambua wewe mwyw mkuu.

Mkuu proff haitambui hiyo.

Anasema 10 min x ni uhakika 100%

Sasa km kiukweli imeshafika 100% hiyo haiitwi tena betting.

Hiyo ni sure, kitu ambacho hakiwezekani.

Juz TU kwny mechi ya lyoni vs PSG.

Tena ikiwa ni big match, wengi wakitegemea magoli kuingia late sana

Cha ajabu,

Tumeshuhudia goli dkk 1 tu ya mchezo.

HAPO NDO UTAAMINI HAMNA KITU KINAITWA 100% BETTING.

VINGINEVYO NI FIXED MATCH.
 
Ndio maana wengine hawaleti mikeka yao

Kuanzia leo sizani kama Pro ataleta mkeka
Hakuna anaemdhihaki wala kumbeza.

Hili swala ni kwa njia kujenga na kumuelimisha.

Na pia ni faida kwake,sisi sote na wengineo wenye mitazamo km yake.

Inabd atambue ili Siku nyngn asije akanogewa akaweka stake ya mkopo NMB afu dhamana nyumba ya ukoo.

Akiwa na mindset ile ile ya uhakika 100%.

As a result, mkeka unachanika anajitundika ndugu YETU.

KITU AMBACHO HATUTAKI KITOKEE COZ BADO TUNAMUHITAJI SN KWNY JUKWAA HILI.

NOTE:
Betting yoyote ile duniani uhakika unaishia kikomo 99.99%

Ikishafika 100% hiyo sio betting tena.
 
Deep Pond tangu umehamia xbet maisha yangu yamekuwa magumu sanaaaaaaaa
 
Hakuna anaemdhihaki wala kumbeza.

Hili swala ni kwa njia kujenga na kumuelimisha.

Na pia ni faida kwake,sisi sote na wengineo wenye mitazamo km yake.

Inabd atambue ili Siku nyngn asije akanogewa akaweka stake ya mkopo NMB afu dhamana nyumba ya ukoo.

Akiwa na mindset ile ile ya uhakika 100%.

As a result, mkeka unachanika anajitundika ndugu YETU.

KITU AMBACHO HATUTAKI KITOKEE COZ BADO TUNAMUHITAJI SN KWNY JUKWAA HILI.

NOTE:
Betting yoyote ile duniani uhakika unaishia kikomo 99.99%

Ikishafika 100% hiyo sio betting tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu hatuombeani kupoteza but lengo ni kupeana maoni na ushauri. mtu anaposema ni sure 100% kuna wengine ni wageni wanaweza ingia kwa miguu yote akaweka kisha akapoteza. kumbe kaweka pesa ya ada, kodi etc. itakuwaje? kilichotuogopesha ni yeye kutaka kuaminisha watu kuwa 10 min x ni uakika 100% wakati si kweli hakuna 100% kwenye betting
Hilo ni kweli kabisa mkuu trouble.

Juniours wengi sana tunaweza kuwapoteza kwa hz falsafa za proff
 
[20:24, 23/01/2018] Collin Muntary: BET [HASHTAG]#FSTINPLAY[/HASHTAG] NOW!

Hapoel Akko v Hapoel Haifa

Hapoel Haifa - Over 1.5 Team Goals @ 10/11[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Add to your betslip
[20:37, 23/01/2018] Collin Muntary: [HASHTAG]#Free[/HASHTAG] [HASHTAG]#Inplay[/HASHTAG]

Hapoel Akko vs Hapoel Haifa

Over 2.5 Match Goals[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Odds - [emoji594]

OGOPA INPLAY UJUTIE
 
Point siyo gundu! Proffessor alitapa sana hapa jukwaani kuwa 10 min draw ni uhakika 100% watu tukampinga! Leo atakuwa ameelewa sasa hakuna 100% kwenye Betting!

Usichukulie kwenye mtazamo huo ulionao hapa. Hakuna mtu anaomba mwenzie apoteze pesa. Ni hayo tu, topic closed!
Nakumbukaaaa nami nikamwonyaa betting aina mwenyewe sawanakwenda kukesha kanisani ukatamani ufie huko ufike mbinguni ukaishia kugongwa na mwendokasi watu wanazika....
 
chukua hiyo odd ya sevilla 1.4 uongezee na za kwako upate 0dds 2 mimi nimeicheza single
kwa wale wa 1xbet
IMG_20180123_223903_357.JPG
 
England
Match: Chelsea Un23 - Oxford United
Tip: GG
Time: 22:30
Extra tip: 3+

Germany
Match: Ingolistadt - Sandhausen
Tip: FT 1
Time: 22:30
Extra tip: 3+

Germany
Match: Numberg - Jahn
Tip: FT 1
Time: 22:30
Extra tip: 3+

Germany
Match: Hostein Kiel Union Berlin
Tip: GG
Time: 22:30
Extra tip: FT X
 
Back
Top Bottom