Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

cc14e0292cfa196235b61bc9fb31c30b.jpg


Uhakika n 100% sure ... uhakikaaa.. 10 min X uhakika ni sanaaa.
 
USIKU MWEMA WAZEE

Equatorial Guinea v Nigeria
International African Nations Championship, Group C
23-01-2018 22:00:
3 Way
2
1.44

RWANDA v Libya
International African Nations Championship, Group C
23-01-2018 22:00:
Double Chance
1X
1.58
 
Habari za jioni wakuu,naomba kujua namna ya kudraw pesa toka kampuni ya supabet,maana siwaelewi kabisa
 
Ubinadamu kazi kwel kwel dahhhh.... hizi lawama sijui kama huu mkeka utatusuaa.. dahh.. nimepiga faster nikatuma through camera ya JF nikiwa katika motion.. nikias cha kusema piga upya uonekane fresh tu..
ww unavyoona unaoneka vzr?mara utupie baada ya game kuisha yaani tukimla wote humu kanji ww unapata hasara gani
 
Back
Top Bottom