Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Al-Kawkab 0 - 1 Al Wehda Mecca
yellow2.gif
inplay gg
 
Kwa hasara niliyoitengeneza toka J'mosi mpk jana ... haivumiliki. Ngoja niwapumzishe Princessbet until further notice, huenda kuna kitu huko.
Niko PlayMaster na Mr. Wise ... saiv ni mwendo wa InPlay tu mpk nirudishe japo nusu ya hasara.

Nimetenga kilo 2 ... kuanzia saa 2 na nusu leo ntakuwa busy sn hapa - PMbet | Best online betting odds in Tanzania | Play Master ... kuanzia odds 1.25 nakomba, as long as ni uhakika.

Mkuu km ulienda na game za AFC Champions sasa hivi utakuwa unacheka
 
Timu ipi tatizo?
ningekuwa naijua timu tatizo si ningeukopi huo mkeka halafu niitoe hiyo "timu tatizo" . Tatizo la timu huwa linatokea ndani ya muda wa mchezo (90 minutes) sio kabla ya mchezo. Eti timu zako zote hizo tisa zisipate tatizo ndani ya dakika 90.............. HAIWEZEKANI.....HAIWEZEKANI, msipende kulaghai watu. Naomba tarehe 25 urudi utupe mrejesho.
 
Kumbe hata nisingekujibu maana umeongea pumba tu.Nilifikiri labda una sababu za kimichezo kusema hivyo ...Unabwabwaja tu
 
sababu za kimichezo??????..........sasa nasema hivi, huu mkeka ukishinda nipigwe life ban humu JF
Kumbe hata nisingekujibu maana umeongea pumba tu.Nilifikiri labda una sababu za kimichezo kusema hivyo ...Unabwabwaja tu
 
jaman hawa jamaa 1xbet hawataki kunipa pesa yangu tangu nilivyodeposit ijumaa nisaidien mawasiliano yao
 
Back
Top Bottom