Kuna boya wa Benifica kakosa penalty aseee
hizo timu za uturuki na italy hua zinabet yaani sijui nimejisahau vp leoWamebet hawa wehu
Kafungwa boya huyu yanikabaki peke yake kwenye mkeka wng.wkt mwingine direct win ni mbaya.sana leo nimeamini
DahHovyo kabisa
Cash out ni pale kwenye mkeka wako pameandikwa sell unabonyezapo unasel inakua tayalMKUUSIJAWHI TUMIA NATARAJIA WEEKEND HII KUWASALIMIA HUKO
[HASHTAG]#DEEPOND[/HASHTAG]
NAWENGINEO EMBU TUSAIDIANE KWA BR
[HASHTAG]#MRWISE[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BUDDY[/HASHTAG]
[HASHTAG]#EMERGENCY[/HASHTAG] PLS
Acha mkuu baada ya juzi Livorno kupigwa na katimu ka ajabu huku akiwa nyumbani na alikua na odds 2+,nilivyoona comment yako husu Reims nikawakumbuka na kukaa mbali kabisaKumbe ndio maana Reims alipewa odds nyingi,
hovyo kweli, option rahisi huwa ni 1/2 tu
Uzazi wa Mpango
Shukrani mkuu nilifanikiwa kurudisha angalau nusu hasara kwa gg ya Beitar,...nilikua nasubiri wapate goli la mapema niwape ushindi..nilivyoona mpaka 75mins hamna kitu nikapotezea![]()
NENDA INPLAY
WEKA GG N OV 1.5/2.5 JILIPUE
INAPENDEZA ZAID WEKA MWINGINE FT AWAY WIN USISOGOPE...TENA MPE NA CS 4-2/3-1
Hata hapa ni WhatsApp toshaWadau kwann tusiwe na group la watsapp tips nzuri sana
Na mikeka lost unaweza kuzifuta dadadeki....Jana naona ulitoa sifa za 1xbet kuna hii naona haukuiweka (Unaweza ku save mikeka yako ili uje ubeti baadae)
Natembea nazo kama janaLunch pay
1. Samsung Thunders to score over 82.5 pnts
2. Kcc Egis total pnts under 171.5
3. Kashiwa Reysol to win Nil No
Total Odds 3.30
Umetoka wapi wewe?Wadau kwann tusiwe na group la watsapp tips nzuri sana
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Umetoka wapi wewe?
Kwanza hujui hata kuiandika eti watsapp
MKUU HIV UKI CASH BACK KWENY 1XBET INACHUKUA MUDA GANI PESA KUSOMA KWENY ACCOUNT?.Na mikeka lost unaweza kuzifuta dadadeki....
Leo naona umetia udambwi...ngoja twende pamoja leo,'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu'Lunch pay
1. Samsung Thunders to score over 82.5 pnts
2. Kcc Egis total pnts under 171.5
3. Kashiwa Reysol to win Nil No
Total Odds 3.30