Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Salama Mkuu...ebu nipe utaratibu ulioutumia ku deposit 1xbet kwa airtel money
Natumia top up account

Napenda kutumia ile inayoanza na minimum 1500.00

Maana ndo iko simple ukilinganisha na ile inayoanza na 2000.00 minimum

No ya kampuni 400700
Kumbkumb no 0081bet
 
Screenshot_20180201-001738.png
WAKUU WAP NIGUSE KU CASH OUT
 
EPL mkuu wale wanaume tunaowatuma
Kazn na kuwalabth pesa zetu leo
Wanafia kwao ashagongwa 3 mtungi
Dah,
Matokeo mabaya sana kwa wapambanaji wenzangu walio wengi.

Hiyo inafaa uende in play ukarudishe ela yako kwa kubet

Shots on target nyng kwa chelsea
Corner nyng kwa chelsea
Fouls nyng kwa mpinzani

Cheza single bet kila mahali,itafa sn kurudishia mtaji
 
Back
Top Bottom