Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 688553 nalipiaje kwa tigo pesa mbona hawajaweka


Ipo Chief ... cha kufanya, uncheck hapo palipoandikwa "Payment systems in your region", then zitakuja payment methods nyingi zaidi ... ikiwemo na Tigo Tanzania (under Mobile Payment)

upload_2018-2-1_9-57-5.png
 
Boss vip wachina na wakorea Leo mchana



Wakorea nafikiria kutoka hivi ...

Dongbu Promy - LG Sakers
Dongbu Promy (First Half Win)
1.42

Goyang Orions - Anyang Kgc
Over 165.5 points
1.49


Odds: 2.12

Wachina leo nimewasoma Xinjian vs Shanxi Zhongyu kwa Over 225.5 ... lkn naona Bookmakers wengi wamewapa kuanzia Over 235.5 ... Japo wanaweza kufikisha lkn naona ni parefu sn huko kustake, so ngoja leo wachina wapite tu. Nitacheza EuroLeague ikipatikana faida. Nikiliwa basi nitaganga yajayo
 
Wakorea nafikiria kutoka hivi ...

Dongbu Promy - LG Sakers
Dongbu Promy (First Half Win)
1.42

Goyang Orions - Anyang Kgc
Over 165.5 points
1.49


Odds: 2.12

Wachina leo nimewasoma Xinjian vs Shanxi Zhongyu kwa Over 225.5 ... lkn naona Bookmakers wengi wamewapa kuanzia Over 235.5 ... Japo wanaweza kufikisha lkn naona ni parefu sn huko kustake, so ngoja leo wachina wapite tu.
Nakufata mkuu. Usisahau ule usemi "fata maneno yangu usifate vitendo vyangu"
 
Ipo Chief ... cha kufanya, uncheck hapo palipoandikwa "Payment systems in your region", then zitakuja payment methods nyingi zaidi ... ikiwemo na Tigo Tanzania (under Mobile Payment)

View attachment 688557
Maelezo ya Ankara:

Namba ya kampuni: 400700

Jina la kampuni: M Lipa

Kumbukumbu ya malipo:0081

Kiasi 30,000

Ingiza namba ya siri kuhakiki.

nimefika hapa v ipi nisubmit?
 
Maelezo ya Ankara:

Namba ya kampuni: 400700

Jina la kampuni: M Lipa

Kumbukumbu ya malipo:0081

Kiasi 30,000

Ingiza namba ya siri kuhakiki.

nimefika hapa v ipi nisubmit?



Mkuu umeanza kwanza kudeposit kwa 1xbet au umeanza na tigopesa/m-pesa??


Iko hivi:

i. Unaanza process kwny 1xbet account (unaweka amount & namba ya simu, then unaconfirm). Then watakutumia "Push message"
ii. Ukishapata push message ndio uanze kulipia kwa simu. Usilipe kabla hujapata push message.
iii. Namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet.
iv. Weka amount uliyoiweka kwny 1xbet. Amount ikitofautiana na ya awali uliyospecify kwa 1xbet account, transaction haitakuwa processed.

Cc Mr. Wise
 
Wakorea nafikiria kutoka hivi ...

Dongbu Promy - LG Sakers
Dongbu Promy (First Half Win)
1.42

Goyang Orions - Anyang Kgc
Over 165.5 points
1.49


Odds: 2.12

Wachina leo nimewasoma Xinjian vs Shanxi Zhongyu kwa Over 225.5 ... lkn naona Bookmakers wengi wamewapa kuanzia Over 235.5 ... Japo wanaweza kufikisha lkn naona ni parefu sn huko kustake, so ngoja leo wachina wapite tu. Nitacheza EuroLeague ikipatikana faida. Nikiliwa basi nitaganga yajayo
Mkuu hii over 165 kampuni gani maana 1xbet kama wamenanza kwenye 168 hivi
 
Mkuu umeanza kwanza kudeposit kwa 1xbet au umeanza na tigopesa/m-pesa??


Iko hivi:

i. Unaanza process kwny 1xbet account (unaweka amount & namba ya simu, then unaconfirm). Then watakutumia "Push message"
ii. Ukishapata push message ndio uanze kulipia kwa simu. Usilipe kabla hujapata push message.
iii. Namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet.
iv. Weka amount uliyoiweka kwny 1xbet. Amount ikitofautiana na ya awali uliyospecify kwa 1xbet account, transaction haitakuwa processed.

Cc Mr. Wise
ndio nimeanza kwenye 1xbet web. then ndo nikatumiwa sms ya malipo
 
ndio nimeanza kwenye 1xbet web. then ndo nikatumiwa sms ya malipo


OK safi ... hapo unaweza ukaendelea na malipo kwa simu sasa (namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet).
Nimegundua wengi wanaolalamika malipo kutofanyika, wanafanya yafuatayo ...


1. Kulipa kwa mobile payment kabla hujapata "push message"

2. Amount wanayospecify kwny 1xbet account ni tofauti na wanacholipia kwny simu. Mfano kule alispecify 20,000/= halafu wakati analipia kwa simu anaweka 30,000/= ... hizi system lazima izione km ni transactions mbili tofauti, hence confusion. Mpaka upate msaada wao kuirevert hiyo hela.
 
Nipo mkao wa kula brothers
10c6340fef62f78ed957e7799f22ddeb.jpg
Hatakynitag mpwaa au vya supu ulemwenyewe...
Miluzi mingi humpoteza Mbwa.

Hii game over 2.5 ilitoa 1st Half, mapema kabisa na imeishia 4-1.

Uwoga wa kuweka hii game imefanya nidonoe donoe tips humu, mikeka kibao nikapigwa hela yote na kanji. Muhimu kufuata machale yako.

Mpaka nalala saa saba usiku nilikuwa Hoi bin taaban kiuchumi. Ila jana asubuhi nimeamka nina plan ya kuweka hii game ya Club Brugge over 2.5 , Philadelphia win Q1 na Boston win Q4 zote zimetoa
 
Back
Top Bottom