Shukran mkuu, tips za jf zimesaidia sana.Congratulations Bro, you nailed it.
Km kawaida Philadelphia Q1 kaendeleza ufalme wake na Boston Q4 kaendeleza ubabe wake.
View attachment 688553 nalipiaje kwa tigo pesa mbona hawajaweka
Boss vip wachina na wakorea Leo mchana
Nakufata mkuu. Usisahau ule usemi "fata maneno yangu usifate vitendo vyangu"Wakorea nafikiria kutoka hivi ...
Dongbu Promy - LG Sakers
Dongbu Promy (First Half Win)
1.42
Goyang Orions - Anyang Kgc
Over 165.5 points
1.49
Odds: 2.12
Wachina leo nimewasoma Xinjian vs Shanxi Zhongyu kwa Over 225.5 ... lkn naona Bookmakers wengi wamewapa kuanzia Over 235.5 ... Japo wanaweza kufikisha lkn naona ni parefu sn huko kustake, so ngoja leo wachina wapite tu.
Nakufata mkuu. Usisahau ule usemi "fata maneno yangu usifate vitendo vyangu"
Vip betting tipsHii app gani?
Maelezo ya Ankara:Ipo Chief ... cha kufanya, uncheck hapo palipoandikwa "Payment systems in your region", then zitakuja payment methods nyingi zaidi ... ikiwemo na Tigo Tanzania (under Mobile Payment)
View attachment 688557
Vip betting tips zipo nyingi sana, unaweza kuweka screenshot ya logo yakeVip betting tips
Hiyo kumbukumbu ya malipo hujaingalia vizuri ni 0081betMaelezo ya Ankara:
Namba ya kampuni: 400700
Jina la kampuni: M Lipa
Kumbukumbu ya malipo:0081
Kiasi 30,000
Ingiza namba ya siri kuhakiki.
nimefika hapa v ipi nisubmit?
Maelezo ya Ankara:
Namba ya kampuni: 400700
Jina la kampuni: M Lipa
Kumbukumbu ya malipo:0081
Kiasi 30,000
Ingiza namba ya siri kuhakiki.
nimefika hapa v ipi nisubmit?
Mkuu hii over 165 kampuni gani maana 1xbet kama wamenanza kwenye 168 hiviWakorea nafikiria kutoka hivi ...
Dongbu Promy - LG Sakers
Dongbu Promy (First Half Win)
1.42
Goyang Orions - Anyang Kgc
Over 165.5 points
1.49
Odds: 2.12
Wachina leo nimewasoma Xinjian vs Shanxi Zhongyu kwa Over 225.5 ... lkn naona Bookmakers wengi wamewapa kuanzia Over 235.5 ... Japo wanaweza kufikisha lkn naona ni parefu sn huko kustake, so ngoja leo wachina wapite tu. Nitacheza EuroLeague ikipatikana faida. Nikiliwa basi nitaganga yajayo
ndio nimeanza kwenye 1xbet web. then ndo nikatumiwa sms ya malipoMkuu umeanza kwanza kudeposit kwa 1xbet au umeanza na tigopesa/m-pesa??
Iko hivi:
i. Unaanza process kwny 1xbet account (unaweka amount & namba ya simu, then unaconfirm). Then watakutumia "Push message"
ii. Ukishapata push message ndio uanze kulipia kwa simu. Usilipe kabla hujapata push message.
iii. Namba ya kampuni 400700, kumbukumbu namba 0081bet.
iv. Weka amount uliyoiweka kwny 1xbet. Amount ikitofautiana na ya awali uliyospecify kwa 1xbet account, transaction haitakuwa processed.
Cc Mr. Wise
Mkuu hii over 165 kampuni gani maana 1xbet kama wamenanza kwenye 168 hivi
Vip betting tips zipo nyingi sana, unaweza kuweka screenshot ya logo yake
Ok... Poa mkuuNi Premierbet Chief ... hata mm nimeona 1xbet wameweka kuanzia Over 168.5
ndio nimeanza kwenye 1xbet web. then ndo nikatumiwa sms ya malipo
Hatakynitag mpwaa au vya supu ulemwenyewe...Nipo mkao wa kula brothers
Miluzi mingi humpoteza Mbwa.
Hii game over 2.5 ilitoa 1st Half, mapema kabisa na imeishia 4-1.
Uwoga wa kuweka hii game imefanya nidonoe donoe tips humu, mikeka kibao nikapigwa hela yote na kanji. Muhimu kufuata machale yako.
Mpaka nalala saa saba usiku nilikuwa Hoi bin taaban kiuchumi. Ila jana asubuhi nimeamka nina plan ya kuweka hii game ya Club Brugge over 2.5 , Philadelphia win Q1 na Boston win Q4 zote zimetoa
Mkuu daily betting tips..ilanaona wameitoa laystore..kamauna whatsup no nipm nikurushie linkP didy hii app inaitwaje? Nitajie bwana