Mkuu,hii mechi ya lini.Sydney v Wellington Phoenix (Total Goals - Over/Under 2.5 Over 2.5 goals)
Ha ha ha...
Mkuu hio niliidaka twitter na tips za humu nikachanganya na akili yangu, InshaAllah kuanzia sasa ntakua nakutag unless iwe bet in play hehehHatakynitag mpwaa au vya supu ulemwenyewe...
Mpwa,
Kama ulimjraibu NA GG SIHABA
Mpwaayanaendrelea hope umefika salamaa vijana waliogopa ikabidi niwapematumaini kuna majukumu mengine jamani nje ya mhindi inabidi yafanikishweMpwa,
Habar za mapambano
[2/1, 13:28] +234 805 582 5979: *STRONG PUNTERS RELOADED*
Presents: *1.3 odds 30 Days Super Rollover*
Featuring:
✍ *OLAYOUNG*
✍ *TAMMY*
✍ *DANNY*
✍ *SPARKY*
✍ *KENZY* (small god)
✍ *CYPHER*
✍ *MADINA*
✍ *COSSY ELA*
✍ *HI JO*
✍ *MULONSO*
✍ *HORLAMS SUPREMO*
✍ *PATRON*
✍ *Ts*
✍ *SOCIOR*⌚
✍ *TIPSTER*⚡
_*Each Punter per day after the first 15 days we continue from the first punter on the list*_
*```LIST AS FOLLOWS*```
DAY 1: *HI JO*
DAY 2: *OLAYOUNG*
DAY 3: *COSSY ELA*
DAY 4: *CYPHER*
DAY 5: *MADINA*
DAY 6: *DANNY*
DAY 7: *SPARKY*
DAY 8: *Ts*
DAY 9: *MULONSO*
DAY 10: *PATRON*
DAY 11: *TIPSTER*
DAY 12: *HORLAMS SUPREMO*
DAY 13: *TAMMY*
DAY 14: *SOCIOR*
DAY 15: *KENZY*
*PROCEEDURES*
1 *1.3*X 3000 = 3900
2 *1.3*X 3900 = 5070
3 *1.3*X 5070 = 6591
4 *1.3*X 6591 = 8568
5 *1.3*X 8568 = 11138
6 *1.3*X 11138 = 14480
7 *1.3*X 14480 = 18824
8 *1.3*X 18824 = 24471
9 *1.3*X 24471 = 31813
10 *1.3*X 31813 = 41357
11 *1.3*X 41357 = 53764
12 *1.3*X 53764 = 69894
13 *1.3*X 69894 = 90862
14 *1.3*X 90862 = 118121
15 *1.3*X 118121 = 153557
*After The 15th Day Success We Restart With The Punter from The With same Amount Of 3000 naira*
(Save 150,0557)
16 *1.3*X 3000 = 3900
17 *1.3*X 3900 = 5070
18.... Day30 *STRONG PUNTERS RELOADED*
[2/1, 13:28] +234 805 582 5979: *✈HIJO✈*
*1.30 ROLLOVER DAY 1*
*TURKEY*
Turkiye Kupasi
_Atiker Konyaspor 1922 - Galatasaray_
*Over (1.5) 1.30*
*Welkum2FEBRUARY*
Kwa lipi mkuuMbet wako vizur
Yap!Mpwaayanaendrelea hope umefika salamaa vijana waliogopa ikabidi niwapematumaini kuna majukumu mengine jamani nje ya mhindi inabidi yafanikishwe
Hawatabirikagi hao...Leo wakorea wamemwaga vikapu , mpaka sasa karibia wote over 170.5 ni km uhakika
Yap!Hizi game za basketball timu zinazofungana sana hlf nguvu zinafanana especially kwa Korea inplay inaweza kukutoa sana.
Hii game ya Goyany vs Anyang.... Kuna muda odds za Goyany zilifika 10 wakati huo Anyang anaongoza vikapu vingi, sasa Goyang kapindua odds za Anyang zimepanda mpaka 10.
Sasa km ungekuwa na 40 unaigawanya kwa 20 then inplay unabandika huku na huku unatulia kusubiria mavuno upande wowote bila presha
we ni mgeni wa bet side... uzuri wa m bet n upi hasa?Mbet wako vizur
Leo wakorea wamemwaga vikapu , mpaka sasa karibia wote over 170.5 ni km uhakika
Dah! Vipigo vinanifanya nibet kwa buku buku kwanza niki recover na maumivu ya vipigo nnavyo vipata hapa na pale nitarejea.Asante sana buddy mkeka wako umetoa japo najut kwanini sikuweka mzigo mkubwa kama Jana asee kipigo cha man utd bad kinanichanganya