Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wana uhusiano na wachezaji..wanawatia mpunga ili wafanye mambo kinyume na mlivobet
Ligi zenye upumbavu wa kupanga matokeo ni uturuki,ugiriki,brazil na italy,juventus na rangers walipanga matokeo ktk ligi zao ikaja kugundulika wakashushwa daraja mpaka mchangani.
Spain,epl hawana ujinga wa kupanga matokeo maana wanajua balaa lake
 
Kuna siri kubwa nyuma Betting, wana connection kubwa sana na wachezaji na timu.bwin bet,bet365,william hill,betfair hizo kampuni hatari sana ila tunakomaa nao hivyo hivyo.
kuwa makini kubet nchi hizi greek,turkey,brazil,chile,argentina na italy inshort ligi zote za south america wana michezo michafu sana
 
Nimeishatumia laki mbili kwenye betting lakini sijawahi kupata,mhindi ana madawa nini
 
Nimeishatumia laki mbili kwenye betting lakini sijawahi kupata,mhindi ana madawa nini
Hujui formula ya kubet mimi nimefaidika na kubet na najua kubt hasa kula ni kawaida niombe nikupe somo... Kesho upate pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…