usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Mkuu Dortmund amecheza gameNawiwa kufa na DC kwa Koln leo ... something tells me Dortmund atadisappoint leo
3 bla ushind hii game ya 4
Lazma ajikaze walau apate hata
Ushind mwembaba
Mkuu Dortmund amecheza gameNawiwa kufa na DC kwa Koln leo ... something tells me Dortmund atadisappoint leo
Mkuu Dortmund amecheza game
3 bla ushind hii game ya 4
Lazma ajikaze walau apate hata
Ushind mwembaba
Hyo nayo n kweli kabsa hapoKoln nae anataka kutoka kule mkiani ... it won’t be an easy ride for BvB ... ukizingatia hawana Auba saiv (Their top scorer for recent seasons)
1x inamfaa koln odd 2+Mkuu Dortmund amecheza game
3 bla ushind hii game ya 4
Lazma ajikaze walau apate hata
Ushind mwembaba
Aiseee tena unatembea nazo1x inamfaa koln odd 2+
Hyo nayo n kweli kabsa hapo
Yyt anaweza kushinda so kikubwa
hapo n DC tu
Best Option kwa hii game ni UNDER 3.5Kweli kbs Chief ... af nimeona Koln wakiwa makini sn recently, japo wanapigwa lkn wanakomaa
Yaaah Hawa jamaa bek yao sometimes hua inakuaga imara sanaKweli kbs Chief ... af nimeona Koln wakiwa makini sn recently, japo wanapigwa lkn wanakomaa
Aiseee huko nmekatafta hako1xbet ligi unazipataje, ligi kama ligi, nataka nichek kale ka ligi ka uholanzi tu
Wapeni gg mkalaleeKoln nae anataka kutoka kule mkiani ... it won’t be an easy ride for BvB ... ukizingatia hawana Auba saiv (Their top scorer for recent seasons)
Wapeni gg mkalalee
Mhhh...hapa kua makini hii inaweza enda 0-0 au 1-0 Mkuu.Kweli, nafikiri GG is a perfect choice kwa hii mechi !
Mhhh...hapa kua makini hii inaweza enda 0-0 au 1-0 Mkuu.Kweli, nafikiri GG is a perfect choice kwa hii mechi !