Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mimi naona bettting katika kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa msimu kumekuwa kwa kiQUMER sana. Mnaona jinsi hawa QUMER Man Shit na Celtic walivyotuunguzia hela? Sijui hata mtu ubet vipi. Nadhani hz timu ambazo zinaongoza ligi kwa pointi nyingi ni za kuchukulia kwa uzito wa kipekee, hasa zinapokuwa zinacheza away.
 
Aisee hii hela tuliyoikosa hapa ...ni Mungu tu ndio anajua. 3+ [emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]

GG&3+ ni moja tu ndo haikutoa ...



Acha kabisa mkuu, nimeangalia karibu machozi yadondoke hapa
 

Celtic siyo wa kuwaamini directly win au over 2.5.

Man city akiwa away naye siyo mzuri recently especially kwenye 3+

Magdeburg, NEC nk kaa nao mbali mpaka warudi vizuri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…