Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps brothers.
986a6ec075f2d80c27fe0d30fd9506b0.jpg
Hii ni App gani
 
naona option yangu pendwa "HEADED GOAL" (NO) imetoa kabisa . ktk match na eirba, man city naona kbs hamna goal la kichwa lililofungwa. hawa voda nawalaani kwakweli kunilaza njaa
Pole sana mkuu.
 
Wakuu nani huwa anacheck live commentary nahisi 1xbet wameniibia hapa. Je ni kweli ndani ya dk 1 kumetoke freekick game ya Bayern?
 
Wapumbavu kweli saiv nizisaka mechi za German Bundasliga zimefichwa zilikuwa zimefichwa zooote na zote zimetoa over 2.5
Nyie hata makosa yenu mawasingizia 1xbet, game mbona zipo zote mkuu na ndo zinachezwa muda huu.
 
Back
Top Bottom