Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Every little helps brothers.
986a6ec075f2d80c27fe0d30fd9506b0.jpg
 
naona option yangu pendwa "HEADED GOAL" (NO) imetoa kabisa . ktk match na eirba, man city naona kbs hamna goal la kichwa lililofungwa. hawa voda nawalaani kwakweli kunilaza njaa
 
Kubet direct win katika round ya 2 ya EPL ni hatar sana.

Ni vema tukacheza options tofauti na zenye odds za maana

Kuliko kukomaa na matokeo ya 3way
 
Back
Top Bottom