Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Nafanya vipi kuicheza yenyewe na si salio languUweke mkeka wenye timutatu au zaidi. Alafu kila match iwe na odd zaidi 1.4
Nafanya vipi kuicheza yenyewe na si salio languUweke mkeka wenye timutatu au zaidi. Alafu kila match iwe na odd zaidi 1.4
Nenda kwenye akaunti yako utaona neno main akaunti. Bonyeza hapo utaona neno bonus akaunti bonyeza. Then rud anza kubet hela itakayokua inatumika ni ya bonus tuuNafanya vipi kuicheza yenyewe na si salio langu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kapewa dozi mpk basiSevilla anashughulikiwa 5-0 mpaka sasa
Unaweza screenshot iko kijisehemu?maana naona hapa account settingNenda kwenye akaunti yako utaona neno main akaunti. Bonyeza hapo utaona neno bonus akaunti bonyeza. Then rud anza kubet hela itakayokua inatumika ni ya bonus tuu
Simu kuscreenshot inazngua. Nenda kwenye akaunti yako. Then setting. Utaona kwenye user akaunti ya kwanza kabisa wameandika main akaunti. Ibonyeze afu select bonus akaunt. Unatumia pc au app ya simu?Unaweza screenshot iko kijisehemu?maana naona hapa account setting
m.betWadau mbona kimya nimeomba msaada wa site inayo betisha team za bongo?
PCSimu kuscreenshot inazngua. Nenda kwenye akaunti yako. Then setting. Utaona kwenye user akaunti ya kwanza kabisa wameandika main akaunti. Ibonyeze afu select bonus akaunt. Unatumia pc au app ya simu?
Simu kuscreenshot inazngua. Nenda kwenye akaunti yako. Then setting. Utaona kwenye user akaunti ya kwanza kabisa wameandika main akaunti. Ibonyeze afu select bonus akaunt. Unatumia pc au app ya simu?
Kama ni pc sehemu zilipo hela zako kuna neno limeandikwa main akaunti. Bonyeza hapo utaona bonus akaunti
Push Message, Hawajanifikishia hela yangu kutoka saa tatu asubuhi hii.[emoji134] niliWITHDRAW[emoji134] [emoji24]Dusupay wameondoka na ela yang tokea tar 19 Jan 2018 mpk Leo haijaingia.
Niliwashit, tumia push message.
Iko simple n fast
Princess betWadau mbona kimya nimeomba msaada wa site inayo betisha team za bongo?