Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Afu uzuri huna haja ya kusubiri dkk 90 ukitiki hapo hapo mtonyo unaingia unaendelea na mishe nyngine
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii option ya 5 mins no goal imeisha nishinda tabia aiser.
1a132812de7765f834016a31b98f8a9d.jpg
 
Wadau wa 1xbet msideposit kwa dusupay niwezi. Tumieni njia ya push message
Hao dusupay wahuni sn.

Waliwahi ondoka na 15k yangu.

Mpk Leo sijui hatma ya ile pesa angu.

Nowadays, natumia push message.
Isipokuepo hiyo,basi naisubir mpk itokee

Ndo ntaweza kudeposit
 
Hii option ya 5 mins no goal imeisha nishinda tabia aiser.
1a132812de7765f834016a31b98f8a9d.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee 4mn 2gols

Kanji co wa kispprtsport
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee 4mn 2gols

Kanji co wa kispprtsport
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo option hamna anaiweza proffeser
 
Tip,

Wale wenzangu wa 1xbet

Mpe Bournemouth ushindi wa corner mwanzo mwisho

Stoke akiwa away ni mtepeto sana na muoga sana kushambulia

Bila shaka inaodds tamu sana
 
Siku za weekend mara nyingi huwa kuna usumbufu wa kudeposit katika kampuni za kubet kupitia mitandao yetu ya simu sijui ni kwa sababu wanaelemewa sana au vipi.
 
Nimeweka princess bet pia mpesa hajajibu wanasema wait 24 hrs! [emoji23][emoji23][emoji23]! Shit hole country kweli
 
Wenzangu tusiopenda presha.

Leo Mzee wa kuinamisha uwanja, mbinafsi wa kutoa ushirikiano ktk coroner.

man city fc EPL yuko ground

1.Ushindi wa corner mwanzo mwisho kwa city
(HT/FT)

2. Pia ushindi wa faulo nyingi kwa burnely

3. Pia double chance ya ushndi wa yellow card kwa burnely.

Hajawahi niangusha guardiola ktk hii option

Nb:
epuka kubet direct 3way win ktk mzunguko huh wa pili wa ligi ya EPL

KIZURI NI KULA NA NDUGUYO
 
Dusupay wameondoka na ela yang tokea tar 19 Jan 2018 mpk Leo haijaingia.

Niliwashit, tumia push message.

Iko simple n fast
 
wadau 1xbet mechi za siku mnafanyaje ili zote ziwepo kwenye ukurasa wa mbele zote bila kuanza kuzisaka moja moja kwenye nchi.
Filter time then chagua 12 au 24 hrs zitabaki za siku husika tuu
Picha
Kwanza click kitufe kile juu kulia,zitakuja kama picha ya pili inavoonyesha afu unachagua masaa
Screenshot_20180203-124706.png

Screenshot_20180203-124706.png
 
Back
Top Bottom